The_Analyst
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 241
- 86
Nataka kuwa-attract wajenge viota vyao nyumbani kwangu bila kuwaweka kwenye cages.Unataka kufuga?
Halo ndege wanapenda Sehemu kwenye karibu na vyanzo vya maji kama mito,ziwa au bahari sehemu ambayo hakuna vyanzo vya maji hakai hao ndege chief kwaiyo ukitaka wakae hao ndege inabidi nyumba yako iwe karibu na vyanzo vyamajiHabari Wana jamvi,
Kwa wale waliowahi kufika hotel ya Southern sun Posta Mpya karibu na hospital ya Ocean road, Dare es salaam mtakua mmeshawahi kuona viota vingi vilivyojengwa na hawa ndege aina ya "Weaver birds" kwenye palm trees at the entrance of the hotel.
Swali langu ningependa kujua wamewezaje kuwa-attract hawa ndege kujenga viota vyao kwenye hiyo miti ya palm trees at the entrance of the hotel.
Kama kuna mdau anajua mbinu za kuwaattract hawa ndege kujenga viota kwenye palm trees nyumbani kwako atujuze.
Natanguliza Shukrani...
View attachment 2999164View attachment 2999165
vyanzo vya maji ukimaanisha mito, maziwa bahari au hata ukijenga ka-pond inatosha? chakula chao je?Halo ndege wanapenda Sehemu kwenye karibu na vyanzo vya maji kama mito,ziwa au bahari sehemu ambayo hakuna vyanzo vya maji hakai hao ndege chief kwaiyo ukitaka wakae hao ndege inabidi nyumba yako iwe karibu na vyanzo vyamaji
hapa nilipo miti ipo ndani ya fence so sio rahisi kupigwa mawe.Hapo ni sehemu salama kwao
tatizo wakijenga viota uswahilini wanapopolewa kwa mawe.
Yan eneo lenye maji mengi siyo ujichimbie kijibwawa mchala ukategemea watakuja hawaji wanapenda maji natural tena ya mda wote yan jua mvua yawepovyanzo vya maji ukimaanisha mito, maziwa bahari au hata ukijenga ka-pond inatosha? chakula chao je?
Kila la kheriiii kwake
Kulikuwa na mtu Fulani wa miiba ndio walijenga hapo. Ule mti nahisi ndio uliwavutiaHabari Wana jamvi,
Kwa wale waliowahi kufika hotel ya Southern sun Posta Mpya karibu na hospital ya Ocean road, Dare es salaam mtakua mmeshawahi kuona viota vingi vilivyojengwa na hawa ndege aina ya "Weaver birds" kwenye palm trees at the entrance of the hotel.
Swali langu ningependa kujua wamewezaje kuwa-attract hawa ndege kujenga viota vyao kwenye hiyo miti ya palm trees at the entrance of the hotel.
Kama kuna mdau anajua mbinu za kuwaattract hawa ndege kujenga viota kwenye palm trees nyumbani kwako atujuze.
Natanguliza Shukrani...
View attachment 2999164View attachment 2999165
JF ina majibu "yote"
MgungaKulikuwa na mtu Fulani wa miiba ndio walijenga hapo. Ule mti nahisi ndio uliwavutia
Huu mti wa mgunga naweza kuupataje?.... nimeulizia kwa hawa wauza maua hawana..... nipe contact ntaulipia niletewe mche.Mgunga
sijalelewa hapa "Ndege hawataki sehemu zenye mkubwa na binadamu."Hii hotel ilishafunguliwa baada ya kufungwa wakati wa Covid? Ndege hawataki sehemu zenye mkubwa na binadamu.
Pale sothern sun kuna chanzo gani cha water?Halo ndege wanapenda Sehemu kwenye karibu na vyanzo vya maji kama mito,ziwa au bahari sehemu ambayo hakuna vyanzo vya maji hakai hao ndege chief kwaiyo ukitaka wakae hao ndege inabidi nyumba yako iwe karibu na vyanzo vyamaji
Kwaiyo ile bahari posta pale huioni au mwenzetu upo dodomaPale sothern sun kuna chanzo gani cha water?
Asante
Nataka kuwavutia wajenge viota vyao nyumbani kwangu bila kuwaweka kwenye vizimba vya mabati.Nataka kuwa-attract wajenge viota vyao nyumbani kwangu bila kuwaweka kwenye cages.