Hotel ya Southern Sun - Weaver Birds

Halo ndege wanapenda Sehemu kwenye karibu na vyanzo vya maji kama mito,ziwa au bahari sehemu ambayo hakuna vyanzo vya maji hakai hao ndege chief kwaiyo ukitaka wakae hao ndege inabidi nyumba yako iwe karibu na vyanzo vyamaji
Mbona kwenye hiyo Hotel hakuna chanzo cha maji na ndege wapo.
 
ndio tuongee dili nipo Dar
Wala hakuna cha dili mkuu kama una mtu Kongwa aigiza akuchukulie pale Chamwino kwenye kitalu cha TFS migunga ipo mingi sana. Au ukipata nafasi ya kupita maeneo hayo ukifika Chakechake pale kwenye nyama choma nyingi kama unatoka Dodoma chepuka kulia uliza mtu yoyote akuelekeze kitalu cha miti cha TFS kilipo uchukue tani yako!
 
Jifunze aina ya chakula wanachopenda,kipatikane karibu na sehemu yako,pia mazingira yawe rafiki yasiyowasumbua.
 
Huu mti wa mgunga naweza kuupataje?.... nimeulizia kwa hawa wauza maua hawana..... nipe contact ntaulipia niletewe mche.

sijalelewa hapa "Ndege hawataki sehemu zenye mkubwa na binadamu."
Sorry...mkusanyiko mkubwa na shughuli za kibinadamu
 
Hii hotel ilishafunguliwa baada ya kufungwa wakati wa Covid? Ndege hawataki sehemu zenye mkubwa na binadamu.
Hapo Southern Sun pana mzunguko wa watu na wamejenga sehem magari yanapita kabisa karibu.
So sijui hawaowners wa hii hotel wanafanyeje pia hoteli yao ya Southern Sun Ridgway Lusaka Zambia wamejenga pia...
 

Attachments

  • southern-sun-ridgeway (1).jpg
    49.2 KB · Views: 6
  • southern-sun-ridgeway.jpg
    56.2 KB · Views: 7
  • photo0jpg.jpg
    61.9 KB · Views: 7

UPDATE:

Amazingly leo asubuhi nieamka nikisikia ndege wengi sana wakilia nje ya kibaraza cha nyumba yangu. Nikaona nitoke nje niangalie kuna nini. Amazingly nimekuta kuna swarm of these weaver birds wanajenga viota vyao kwenye mti mbele ya kibaraza changu.

Nimefurahi na kustaajabu sana kwani nilianzisha hii thead out of curiosity, na sijafanya chochote hapa nyumbani cha kusema kuwaattract hawa ndege ila leo wamenisupprise wanajenga viota na wapo wengi sana. wamechagua huu mti wangu.


Your browser is not able to display this video.





Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…