Hotel za Dodoma zinakiuka sana ulinzi wa taarifa binafsi

Sasa mkuu hapo ndio pazuri,nenda kawashtaki upige hela. Mimi natamani sana niipate hiyo fursa ili niingie kwenye watu wa kipato cha kati..
 
Ajira hizo....tusaidiane...
 
😂😂😂😂😂😂😂
Hata mim sipendi bana mim mwenyewe sijianiki kwanin nianikwe nawengine jamani sio vizuri
 
Royal kulala ni shngapi?hotel gani nyingine nzuri hapo mjini kati ukiacha Dodoma hotel
 
Tatizo ni access kupatikana kwa urahisi kwa hao wapiga picha.

Mazingira hayako secured
 


Mzee ukawa model kwenye tangazo la kiwanja cha starehe😂😂
 
Ungetafuta mwanasheria ungevuta pesa nzur kupitia Sheria za makosa ya kimtandao..
 
Nimeingia jukwaa la celebrities au.?
 
Umeacha utajiri ukupite kizembe hivyo?
 
Wametoa zile picha kwenye Instagram siku tatu mbele wakapost tangazo la kuvuta wateja weekend na mie tena nikawepo kwenye lile Tangazo,Sijawahi kanyaga tena pale.
Ungetafuta mwanasheria akushauri uwaadabishe
 
Wanakupiga picha bila ridhaa yako?

Aisee mbona hili ndiyo kwanza nalisikia?
Seriously hujawahi kuisikia??
Wewe Unafikiri haya Mambo mapya ya hovyo kabisa yanayoibuka Sana siku hizi ya kuchafuana kupitia kwenye mitandao ya kuvujisha picha za faragha za watu wenyewe siku hizi wanaita "Connection" Unafikiri zinatoka wapi hizo picha? Unafikiri Mange Kimambi anazipata wapi kama siyo hao wapigapicha unaowaona wamezagaa mitaani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…