Hivi karibuni nilisafiri kutoka Mkoa flani nikalala Singida, kesho yake nikasafiri usiku kwenda Dar. Tulipofika Dodoma majira ya saa 5 usiku tukashuka kwenye moja ya hotel kwa ajili ya huduma za kijamii.
Aisee mazingira ya maliwato ni mabovu. Kuchafu na maji hakuna kabisa. Nikajiuliza ni day time kuko hivyo hivyo au ninkwa sisi kwa vile tunasafiri usiku basi hawaoni umuhimu wa kufanya usafi?
Hivi kweli sehemu kama ile inakuwaje ya kihuni hivyo? Wanashindwa kuweka muhudumu hata mmoja wa kusafisha usiku na kuhakikisha huduma ya maji ipo kwa ajili yetu sisi tunaosafiri usiku.?
Hii pia iende hotel zote ambazo abiria wanatumia haswa nyakati za usiku.