Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,085 Reaction score 1,082 Oct 8, 2012 #1 Jamani sijawahi kula nyama ya bata. Je hapa jijini Dsm ni hoteli ipi wanauza nyama ya bata? Sokoni wako wengi wanauzwa lakini nasikia ukichinja bata ni lazima umning'inize kwanza kwani ana maji mengi. Naomba wajuzi wa kuoka au kupika bata watupe darasa. Asante
Jamani sijawahi kula nyama ya bata. Je hapa jijini Dsm ni hoteli ipi wanauza nyama ya bata? Sokoni wako wengi wanauzwa lakini nasikia ukichinja bata ni lazima umning'inize kwanza kwani ana maji mengi. Naomba wajuzi wa kuoka au kupika bata watupe darasa. Asante
katesh Senior Member Joined Feb 6, 2012 Posts 117 Reaction score 21 Oct 8, 2012 #2 Nyama ya bata ni tamu! Kwa mchuzi mtamu, kwa kuoka mtamu, kwa kukaangaa mtamu! Ww nunua bata kwanza kisha weka thread hapa tukuelekeze.
Nyama ya bata ni tamu! Kwa mchuzi mtamu, kwa kuoka mtamu, kwa kukaangaa mtamu! Ww nunua bata kwanza kisha weka thread hapa tukuelekeze.
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,085 Reaction score 1,082 Oct 24, 2012 Thread starter #3 Mapishi ya bata jamani sikukuu keshokutwa.
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 28,132 Reaction score 64,416 Oct 24, 2012 #4 nenda pale break point makumbusho wapo. agizia nyama ya bata kwa ugali wa muhogo au mnunue mzima ukamchinjie nyumbani kwako. mia
nenda pale break point makumbusho wapo. agizia nyama ya bata kwa ugali wa muhogo au mnunue mzima ukamchinjie nyumbani kwako. mia
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Oct 24, 2012 #5 figganigga said: nenda pale break point makumbusho wapo. agizia nyama ya bata kwa ugali wa muhogo au mnunue mzima ukamchinjie nyumbani kwako. mia Click to expand... mmmmhhhh hapa na kwa nyama pori hatari kila siku nikienda na kosa ugali wa muhogo dah..
figganigga said: nenda pale break point makumbusho wapo. agizia nyama ya bata kwa ugali wa muhogo au mnunue mzima ukamchinjie nyumbani kwako. mia Click to expand... mmmmhhhh hapa na kwa nyama pori hatari kila siku nikienda na kosa ugali wa muhogo dah..
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Oct 26, 2012 #6 Ananuka, anakula jongoo. sikushauri, bata mchafu