donzii mayeyo
Member
- Nov 13, 2015
- 66
- 37
Transit hotel korogweHabari za kwenu wana jamii..
Leo nilikuwa safarini kutoka Dar kwenda Arusha..Nilipofika Mombo nikakumbuka sana zile hotel nilipokuwa nakula miaka ile nasoma shule za Moshi.Binafsi nimekumbuka sana Liverpool.
Nawakaribisha na wengine nao kutoa kumbukumbu zao.
Iyo nakumbuka kipindi cha kwenda skuli gari ikisimama pale tulikuwa hatuli hotelini tunatoka nje maana kuna wadau walikuwa wanauza chips bei rahis zaidi ya hotelinTransit hotel korogwe
Nakumbuka adi 2004 zilikuwa bado maarufuSasa miaka ya 90 ndo nazaliwa
Napaonaga tu kwa nje.. natamani siku moja nikapaone pakojePamekuwa pachafu hapafai
MOMBO MOTEL ndo imechangia liverpool kudorolaHabari za kwenu wana jamii..