donzii mayeyo
Member
- Nov 13, 2015
- 66
- 37
Habari za kwenu wana jamii..
Leo nilikuwa safarini kutoka Dar kwenda Arusha..Nilipofika Mombo nikakumbuka sana zile hotel nilipokuwa nakula miaka ile nasoma shule za Moshi.Binafsi nimekumbuka sana Liverpool.
Nawakaribisha na wengine nao kutoa kumbukumbu zao.