Hoteli mpya Machame inayojengwa na Reginald Mengi

Hoteli mpya Machame inayojengwa na Reginald Mengi

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,641
Habarini
Kuna fununu nimeskia kuwa mengi anajenga hoteli ya kitalii kule Machame, je hizi habari zina ukweli wowote?
kama ni za kweli ni fursa gani za kiuchumi tunaweza kuzipata kutokana na ujenzi wa hoteli hiyo especially kwa sisi tuliotokea kilimanjaro?

Nakaribisha mawazo yenu warumi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom