Hoteli ya nyota Tatu inajengwa Chato, Wana-CCM mnafurahishwa na kitendo cha kupeleka kila mradi wa ujenzi Chato?

Ndugu yangu vijana wa CCM huwa wanajenga hoja kama wamekatwa vichwa vimehifadhiwa kwenye masanduku Lumumba.
Ukisikiliza vilio vya wabunge pale Bungeni kuhusu shida zao majimboni, kisha tazama Rais anavyotumia nafasi yake kuelekeza miradi Chato kwake! Huyu mtu ni MBAGUZI na mwenye roho mbaya sana.
 
Shida kubwa ya wanaojiita wanaccm unaowajua Tanzania ni kupata hela ya kujikimu tu , hawana uwezo hata wa kuhoji chochote
Benki ya masikini ni tumbo lake.
CCM wengi ni masikini wa fikra na utu. Wanajijali wao TU, hawajali wengine.
Ufisadi mkubwa nchi hii umefanywa na wana CCM.
Mijutu iliyoficha pesa nje ya nchi ni ya CCM.
Laiti wapinzani wangecheza hii michezo michafu, wangenyongwa hadharani.
 
Karibu Chato wananzego.
Chato ni Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…