Hoteli ya nyota Tatu inajengwa Chato, Wana-CCM mnafurahishwa na kitendo cha kupeleka kila mradi wa ujenzi Chato?

Turudi kwa Mobutu Seseseko,
 
Iko siku tutajuta kwa uwekezaji unaofanywa kishabiki
 
Nyie mnawasiwasi gani ikiwa mamiradi yenyewe hayana hata faida kwa watu wa Chato,maskini gani wa chato atafaidika kwa hoteli hiyo?

Ni sawa na airprt,sijui taa za kuongoza magari na miradi mingine ya kipuuzi kama huu.
 
Huo ndo unaitwa ufashisti.
Over
 
Mbaya zaidi, TANAPA haina mandate ya kujenga hotels. Kazi ya TANAPA ni uhifadhi na siyo biashara ya kulaza wageni.
 
Kwani tatizo liko wapi? tunahitaji kodi na ajira. Wakati wa akina Sumaye miradi mingi ilipelekwa Arusha nahata wakagawa mkoa wa Arusha na Mayara kwa matakwa yao lakini sasa wanaofaiidi ni wananchi wote ,maadamu Chato ni Tanzania hakuna tatizo, basi lalamika na Dar Es Salaam, Ilala zinavoboreshwa na kujengwa.
 
Mambo ya Mobutu Seseseko Kuku tuyategemee 2026 magofu yatakuwa kibao
 
Sisis watu wazima tusingekagua mengine kwa sababu yataleta maneno mbofumbofu, hii ilitakiwa hadi siku ya kufunguliwa/kuzinduliwa kwa ndege kama 2 hivi za wageni kutokea Israel au Marekani kutua katika Uwanja wa Ndege Chatu na kuwapeleka kwa Hoteli ya Nyota 5 inayomilikuwa na TANAPA wakati Ar hawana kwa sababu Chato ni makao makuu ya Utallii kanda ya ziwa. Kwa maoni yangu,nadhani hii ndiomaana ya charity begin at home not away. Naipongeza TANAPA na wananchi wa Chato kwa neema kubwa kubwa na ndogo ndogo za Allah,ni muhimu watu wakaacha wivu, akina Msuya na Mramba walipeleka Umeme hadi migombani.
 
Mbaya zaidi, TANAPA haina mandate ya kujenga hotels. Kazi ya TANAPA ni uhifadhi na siyo biashara ya kulaza wageni.
Mambo ya mandate yaliishia 2015,sasa hivi ni mwendo wa itampendazaje mzeiya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…