Hoteli za Mara zimefurika watalii hakuna tena nafasi, wote wamekuja kushangaa nyumbu

Thats not an excuse Mbona SA inapata watalii zaidi ya Kenya na wanatokea Kaskazini! Dunia is round na direct flights are the solution to that!
 
Wote mliochangia ii post kama kuna mdau wa utalii apa anajua pia kinacho endelea serengeti na kaskazini (north serengeti) booking almost full every lodges end camps ila sijaona wizara yetu inatangaza ilo
Ivi wakenya wana nn! Mbona wanapenda sana kujikweza dhu! Kweli awa ndugu zetu ni shidaa sasawa na kuishi na jirani mlokole au mswahili
 
Dah!!kumbe nyumbu wanyama,ningeshangaa kuona watalii hadi wamekuja kuwaona wale nyumbumbu
 
Miezi karibu 9 huwa tanzania.Inabidi tuwajengee ukuta
 
Halafu baadae watarudi tena Tanzania au ndio basi tena watanogewa kukaa Kenya?
 
Thats not an excuse Mbona SA inapata watalii zaidi ya Kenya na wanatokea Kaskazini! Dunia is round na direct flights are the solution to that!
Wewe unaongelea watalii wanaokwenda South Afrika na siyo Afrika Madhariki. Usidhani mtalii huwa anaamua kushukia eneo fulani anapokuwa kwenye Uwanja wa ndege, hili ni suala alilopanga muda mpaka kufanya booking ya muda mrefu.
Labda ulikuwa hujui. Masai Mara (though a Game Reserve) inapata watalii wengi kuliko Hifadhi zote nchini Kenya (possibly only Tsavo NP) and ahead of even our Serengeti. So, hii siyo coincidental bali ni objective selection kuwa, watalii wengi wanaoenda kikazi na kibiashara jijini Nairobi, ndio huenda kutembelea maeneo ya kuanzia Nairobi. Mnajua Mashirika mengi makubwa ya Ndege huishia JKIA, badala ya KIA, hivyo kuwalazimu watalii wengi wanaoshukia JKIA kulazimika kupanda magari kupitia mpakani Namanga kuingia Tanzania, siyo?
 
Wakenya wamejitangaza sana. Ona sasa wanavyonufaika na utalii kwa nyumbu kutoka Tanzania. Sisi tunakataza safari za nje na Rais amekuwa wa HAPAHAPA! Ngoja tushuhudie mwisho wa sinema ya viongozi washamba wajiitao wazalendo!!!
Jamaa unalialia wakati Masaai Mara na Serengeti ni dugu moja tofauti ni mpaka tu na mto Mara unaomwaga maji ziwa Victoria kukatiza daraja la Kirumi (kilometre chache) kutoka Makutano ya Musoma na Tarime chanzo chake kinatokea Kenya. Hivyo kuna kipindi Nyumbu wanakwenda Maasai Mara hivyo ni muda muafaka wa watalii kwenda kule kuwaona na kuna kipindi pia wanarudi kutoka Masaai Mara na kurudi Serengeti hivyo watalii pia wanakuja huku (kuanzia November na December) mvua zinapoanza kunyesha wanakaa mpaka April then May mdogo mdogo wanasogea Kaskazini ya mbuga ya Serengeti wakijiandaa kuvuka kwenda Masaai Mara
 
Mass tourism (can say economy class) vs posh tourism (can say business class).
 
but u r demonstrating a lack of understanding our tourism product is meant for what kind of tourists! U get to know Serengeti's management and strategic plans first before arguing! Ask urself why Ellen DeGeneres went to the Serengeti and no Masai mara! Believe me Kenya is not all what u think for a country with an airline that goes to all corners of the World and getting 1.5 mln cheap tourists in comparison to Tanzania with no airline and getting 1.3 mln rich tourists. Man this is not our area to know the significance of those figures!
 
we jamaa mbishi.duh!..mwenzako kakupa explanation murwa kabisa..licha ya kuwa kenya inapiokea watalii wengi kuliko tz, tz inatengenza hela zaidi toka kwa utalii...pili, watalii wengi wanaotembea Masai Mara au Tsavo huwa wameluja Nairobi pengine kwa biashara tu ila wanaamua kuchukua siku chache kufanya safari spotting..usisahau kuwa Nairobi ndio centre ya biashara afrika mashariki...kuna watalii ambao wanapitia Nairobi kwanza kisha ndio waje tz uganda na kadhalika..
 
My fellow Tanzanian, is better to argue using facts. Tanzania we are performing a way better than Kenya when it comes to tourism (Historically), stop speaking without looking at the statistics.
This two are screenshots of my yet unpublished article kwenye tourism ya EAC.

WE ARE DOING GREAT,
 
Wakenya wamejitangaza sana. Ona sasa wanavyonufaika na utalii kwa nyumbu kutoka Tanzania. Sisi tunakataza safari za nje na Rais amekuwa wa HAPAHAPA! Ngoja tushuhudie mwisho wa sinema ya viongozi washamba wajiitao wazalendo!!!
Acha hizo hao nyumbu hawana uraia. Wanafanana na jirani zao wamasai ambao hawajui mipaka iliyowekwa na mkoloni.

1. Suala la msingi ni kuangalia tunajipanga vipi kujitangaza na sii kuwalaumu wenzetu kwa sababu hilo tukio hutokea kwenye nchi hizo mbili

2. Ninachotaka kujua je! sasa hivi wanatokea upande gani kuelekea upande gani!

3. Kitendo hicho kinachukua siku ngapi?

4.Je! husafiri mchana na usiku au ni mchana pekee?
 
But that has nothing to do with the location of Nairobi! Fool understand my argument first!
 
kisha nyumbu hao sio wa tanzania...nyumbu hao ni wa nchi zote mbili...wanyama hawajui mipaka...kunammtu naskia anataka ukuta ujengwe ndio nyumbu wasivuke kuingia Masai Mara ata kuwa hana akili timamu huyo
 
Has to do with the kind of tourism product Tanzania offers. It is different from Kenya as it targets high paying tourists!
oooh yeah that's true...kumbe huwa unazungumza mambo ya maana wakati mwingine...duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…