Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Naipenda nchi yangu yangu pamoja na kukuza biashara ya Hoteli(malazi) ningependa kufanya kazi na watu mbali mbali kwenye eneo hili kwa malipo ya Commission pindi nitakapopeleka wageni. Ukihitaji maelezo zaidi nipigie au [email protected]