Hotlulu Michael

Hotlulu Michael

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Anaitwa Elizabeth michael,wengi tumemzoea kwa jina la LULU.Ndiye msanii maarufu pekee mwenye umri mdogo kuliko wasanii wote apa Tanzania akiwa na umri wa miaka 18 tu Lulu anamiliki mjengo wake pamoja na usafiri wake binafsi.

Amewaacha mbali wasanii wenzie ambao wamempita ki umri kama JOHARI,UWOYA,WEMA,WOLPER,MONALISA,KANUMBA,JB,RAY pamoja na wasanii wenzie kibao.

LULU anatajwa kwa sasa kuwa ndiye msanii pekee mwenye mafanikio kuliko wasanii wenzie wa kike apa bongo ambao wamemzidi ki umri,pia anatajwa kuwa ndiye msanii pekee mwenye mvuto na uzuri wa asili.

LULU kwa sasa anamiliki biashara zake ambazo hajataka kuziweka wazi hadi sasa.

Umri wake,uzuri wake na ustaa alionao ndio vitu pekee vinavyowachanganya matajiri wa mujini na kuwafanya wapange foleni kugombea penzi la staa huyo ambaye bado mbichi kabisa.

Uwezo wa bidada huyo wa kutunza siri na mambo ya ndani umewafanya vigogo hao kumiminika kwa wingi kwa staa huyo huku wakiamini wako salama tofauti na staa mwenzie WEMA SEPETU ambaye hawezi kuweka privacy kwenye mahusiano yake hvyo vigogo wengi kumkwepa pamoja na mastaa wengine malimbukeni na wabunge na watu wenye pesa zao.

Kwa sasa msanii huyo ndiye anayeongoza kwa mkwanja mrefu japokuwa yeye hana makeke mengi kama dada zake wakina wolper ambao wote wamekuwa wakitegemea fedha za wanaume kwa kuonyesheana jeuri ya fedha na kutambiana magari apa town,japokuwa mwenzao nafasi hiyo hadimu ameitumia ipasavyo.
 
Kusema ukweli sikuwahi kumpenda lulu yule wa kushinda night clubs..ila tangu kapata majaribu ya kuingia gerezani lulu amechange saaana..kwanza hebu cheki opportunities anazopata mfano tu jana kulikua na issue ya pspf kalulu kalikuwepo kupresent..na pamoja ana miliki mjengo na nyumba hajawahi ht siku moja kuvipiga picha na kuturingishia instagram. .tofauti na kina wolper..wema..kitu kipya tu tayari..huo ni ushaambaa...big up lulu endelea kuwa na busara hivyo hivyo hakika Mungu alitaka aende jela ili akitoka awe mtu mwingine..si yule lulu wa kushinda kutwa kucha starehe..ht marafiki amebadili
 
bora awekeze maana fainali uzeeni!!!
 
Kampita hadi kanumba? Halafu unasema anaficha siri ndo maana vigogo wanamiminka kwake,sasa hapo unampa sifa nzuri au mbaya.?
 
Umesahau kumpa sifa yake ya kuwahi kuua bila kukusudia, pia ni mmoja wa wasanii waliokaa mahabusu kwa muda mrefu. Ni sifa zake hizo za kuongezea. C
 
Anaitwa Elizabeth michael,wengi tumemzoea kwa jina la LULU.Ndiye msanii maarufu pekee mwenye umri mdogo kuliko wasanii wote apa Tanzania,akiwa na umri wa miaka 18 tu,Lulu anamiliki mjengo wake pamoja na usafir wake binafsi,amewaacha mbali wasanii wenzie ambao wamempita ki umri kama JOHARI,UWOYA.WEMA,WOLPER,MONALISA.KANUMBA,JB,RAY pamoja na wasanii wenzie kibao,LULU anatajwa kwa sasa kuwa ndiye msanii pekee mwenye mafanikio kuliko wasanii wenzie wa kike apa bongo ambao wamemzidi ki umri,pia anatajwa kuwa ndiye msanii pekee mwenye mvuto na uzuri wa asili.LULU kwa sasa anamiliki biashara zake ambazo hajataka kuziweka wazi hadi sasa.Umri wake,uzuri wake na ustaa alionao ndio vitu pekee vinavyowachanganya matajiri wa mujini na kuwafanya wapange foleni kugombea penzi la staa huyo ambaye bado mbichi kabisa,pia uwezo wa bidada huyo wa kutunza siri na mambo ya ndani umewafanya vigogo hao kumiminika kwa wingi kwa staa huyo huku wakiamini wako salama tofauti na staa mwenzie WEMA sEPETU ambaye hawezi kuweka privacy kwenye mahusiano yake hvyo vigogo wengi kumkwepa pamoja na mastaa wengine malimbukeni na wabunge na watu wenye pesa zao.Kwa sasa msanii huyo ndiye anayeongoza kwa mkwanja mrefu japokuwa yeye hana makeke mengi kama dada zake wakina wolper ambao wote wamekuwa wakitegemea fedha za wanaume kwa kuonyesheana jeuri ya fedha na kutambiana magari apa town,japokuwa mwenzao nafasi hiyo hadimu ameitumia ipasavyo
Na ndiye msanii aliyeweza kuuhimili mwili mkubwa wa Mh.Komba,vilevile ni msanii ambaye anaweza kusukuma/kupiga ngwala wanaume wakware.
 
Na mpenda sana jamani tusimchukie buree now amekua mdada sio kama zamani..#teamHLM
 
Sio sir we utakuwa presenter wa clouds tu ndo mnaaakili fupi kama hiz
 
Anaitwa Elizabeth michael,wengi tumemzoea kwa jina la LULU.Ndiye msanii maarufu pekee mwenye umri mdogo kuliko wasanii wote apa Tanzania,akiwa na umri wa miaka 18 tu,Lulu anamiliki mjengo wake pamoja na usafir wake binafsi,amewaacha mbali wasanii wenzie ambao wamempita ki umri kama JOHARI,UWOYA.WEMA,WOLPER,MONALISA.KANUMBA,JB,RAY pamoja na wasanii wenzie kibao,LULU anatajwa kwa sasa kuwa ndiye msanii pekee mwenye mafanikio kuliko wasanii wenzie wa kike apa bongo ambao wamemzidi ki umri,pia anatajwa kuwa ndiye msanii pekee mwenye mvuto na uzuri wa asili.LULU kwa sasa anamiliki biashara zake ambazo hajataka kuziweka wazi hadi sasa.Umri wake,uzuri wake na ustaa alionao ndio vitu pekee vinavyowachanganya matajiri wa mujini na kuwafanya wapange foleni kugombea penzi la staa huyo ambaye bado mbichi kabisa,pia uwezo wa bidada huyo wa kutunza siri na mambo ya ndani umewafanya vigogo hao kumiminika kwa wingi kwa staa huyo huku wakiamini wako salama tofauti na staa mwenzie WEMA sEPETU ambaye hawezi kuweka privacy kwenye mahusiano yake hvyo vigogo wengi kumkwepa pamoja na mastaa wengine malimbukeni na wabunge na watu wenye pesa zao.Kwa sasa msanii huyo ndiye anayeongoza kwa mkwanja mrefu japokuwa yeye hana makeke mengi kama dada zake wakina wolper ambao wote wamekuwa wakitegemea fedha za wanaume kwa kuonyesheana jeuri ya fedha na kutambiana magari apa town,japokuwa mwenzao nafasi hiyo hadimu ameitumia ipasavyo
mkuu,mwanaume hawezi kushindana na mwanamke aliyeamua kuutumia mwili wake kwa biashara,kwani toka ametoka jela kafanya nini cha kumfanya amiliki hivyo vitu?
 
2ponde 2fanyaje ndo asha2pita kimaisha wkt bado mtoto mdogo c 2nasota 2muombee 2 awe na tabia nzur
na uhakika wewe siyo mwanaume kama sivyo basi siyo riziki,so ulitaka na sisi tupumuliwe ili tulingane naye?
 
Back
Top Bottom