warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Anaitwa Elizabeth michael,wengi tumemzoea kwa jina la LULU.Ndiye msanii maarufu pekee mwenye umri mdogo kuliko wasanii wote apa Tanzania akiwa na umri wa miaka 18 tu Lulu anamiliki mjengo wake pamoja na usafiri wake binafsi.
Amewaacha mbali wasanii wenzie ambao wamempita ki umri kama JOHARI,UWOYA,WEMA,WOLPER,MONALISA,KANUMBA,JB,RAY pamoja na wasanii wenzie kibao.
LULU anatajwa kwa sasa kuwa ndiye msanii pekee mwenye mafanikio kuliko wasanii wenzie wa kike apa bongo ambao wamemzidi ki umri,pia anatajwa kuwa ndiye msanii pekee mwenye mvuto na uzuri wa asili.
LULU kwa sasa anamiliki biashara zake ambazo hajataka kuziweka wazi hadi sasa.
Umri wake,uzuri wake na ustaa alionao ndio vitu pekee vinavyowachanganya matajiri wa mujini na kuwafanya wapange foleni kugombea penzi la staa huyo ambaye bado mbichi kabisa.
Uwezo wa bidada huyo wa kutunza siri na mambo ya ndani umewafanya vigogo hao kumiminika kwa wingi kwa staa huyo huku wakiamini wako salama tofauti na staa mwenzie WEMA SEPETU ambaye hawezi kuweka privacy kwenye mahusiano yake hvyo vigogo wengi kumkwepa pamoja na mastaa wengine malimbukeni na wabunge na watu wenye pesa zao.
Kwa sasa msanii huyo ndiye anayeongoza kwa mkwanja mrefu japokuwa yeye hana makeke mengi kama dada zake wakina wolper ambao wote wamekuwa wakitegemea fedha za wanaume kwa kuonyesheana jeuri ya fedha na kutambiana magari apa town,japokuwa mwenzao nafasi hiyo hadimu ameitumia ipasavyo.