Hotuba na mijadala anayofanya Tundu Lissu inamzuia vipi Rais na Serikali kufanya kazi za umma? Je, CCM imejipanga kufanya siasa na maendeleo?

Hotuba na mijadala anayofanya Tundu Lissu inamzuia vipi Rais na Serikali kufanya kazi za umma? Je, CCM imejipanga kufanya siasa na maendeleo?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Najiuliza wapinzani wakifanya mikutano ya adhara Serikali inaathirika vipi Hadi isshindwe kufanya maendeleo?

Naona Tundu Lisu anazunguka, Je, Mhe Samia na serikali yake wamezuiwa kufanya KAZI.? Naombeni logic ya kufanya mikutano ya kisiasa na kuchelewa Kwa maendeleo; mbona sioni logic?

Hapo Kenya Raila kila wiki anamikitano ya adhara, sijawahi kusikia wakisema inamzuia Rais kutekeleza majukumu yake. Mazuio yalilenga Nani? Au tuseme Wapinzani Wana nguvu kuliko serikali iliyopo nachama chake?

Mikutano ya upinzania imeanza, ccm nao wamekimbilia Kwa wananchi. Mbona kabla walikuwa awapo karibu na wananchi? CCM tusaidieni mlishindwaje kufanya siasa maendeleo na sasa mtawezaje?

Hii
 
Magufuli alisema msaliti wa nchi hatakiwi kuishi na baada ya masaa machache nikapigwa risasi ~~~~~ Lisu.

Kumbe anajijua kabisa ni msaliti
 
Wanaccm na wafuasi wao ni mbumbumbu...... TWAWEZA.

Ndiyo maana wanaendeshwa kama gari bovu.
 
Back
Top Bottom