Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Kwakifupi jana Gwajima ndiyo amehutubia taifa ndiyomaana hata kwenye online platforms hotuba yake imeangaliwa na watu wengi zaidi kuliko ile ya mwenyekiti wa CCM.
NB: Ni mwaka 2026 sasa, tunaanza mwaka bila Rais, haya ni maajabu ya mwaka.
NB: Ni mwaka 2026 sasa, tunaanza mwaka bila Rais, haya ni maajabu ya mwaka.