Hotuba ya Askofu Gwajima Ilikuwa Bora Zaidi ya ile ya Samia

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Kwakifupi jana Gwajima ndiyo amehutubia taifa ndiyomaana hata kwenye online platforms hotuba yake imeangaliwa na watu wengi zaidi kuliko ile ya mwenyekiti wa CCM.

NB: Ni mwaka 2026 sasa, tunaanza mwaka bila Rais, haya ni maajabu ya mwaka.
 
Hivi jamani mbona watu nyie wagumu hivyo wa kuelewa! Samuya hana akili ya kutoa hatuba hata kama atakuwa ameandikiwa, likifungua kopo tu unajua kabisa hapo ni zero brain!
 
Kwakifupi jana Gwajima ndiyo amehutubia taifa ndiyomaana hata kwenye online platforms hotuba yake imeangaliwa na watu wengi zaidi kuliko ile ya mwenyekiti wa CCM.

NB: Ni mwaka 2026 sasa, tunaanza mwaka bila Rais, haya ni maajabu ya mwaka.
Samia ni muuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…