Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
- #21
Sijui umeelewa nilichoandika kwenye hii mada?!Nimemuona Cecilia Pareso akiichambua bajeti bungeni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui umeelewa nilichoandika kwenye hii mada?!Nimemuona Cecilia Pareso akiichambua bajeti bungeni!
Mjitafakari acheni propaganda!!!hawajui kitu kuhusu bajeti wanachoweza kujadili ni mbowe akilewa akiteleza na kuvunjika mguu huo ndio upeo wao
Bajeti unatakiwa kuwa na kichwa kuijadili
Nilipata kusikia kua actual amount ambayo hupelekwa kwenye vitengo husika hua haifiki hata 60% ya budgeted amount kwa miaka kadhaa Sasa. So ni kama vile kusema budget yetu hainaga uhalisia.Nimejaribu kupita mitandaoni, hasa Twitter kujaribu kuona reaction ya wadau hasa wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na wasomi mbalimbali juu ya Bajeti ya Serikali iliyosomwa jana ila cha ajabu wanajadili au kuongelea maswala mengine tofauti huku Bajeti ya nchi wakiipa kisogo kama vile haipo, wakati kwa kawaida Bajeti inaposomwa tu watu mara moja huanza uchambuzi na mijadala jambo ambalo tangu jana mpaka asubuhi ya leo silioni mitandaoni zaidi ya hapa JF ingawa na penyewe mjadala wake umekosa mashiko kabisa.
Binafsi naona hii ni dalili ya watu kukatishwa tamaa na mwenendo wa Bajeti hizi za serikali kiasi kwamba wanaona mambo ni yale yale hivyo wanaona bora tu. waendelee na agenda zingine.
Anyway, ngoja tuone labda kuanzia leo watu wataanza kujijadili hiyo Bajeti.
Hua unabet?Angalia tu usikufuru ndugu, dhambi ya kukufuru imeandikwa haitasamehewa! as long watu wanaenda kanisan na wanasali na yeye mwenyewe anatoa credits kwa Mungu, chunga tu maneno yako.
Ni ujinga kujadili kitu kitu ambacho unajua fika hakiwezi kutekelezwa.Nimejaribu kupita mitandaoni, hasa Twitter kujaribu kuona reaction ya wadau hasa wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na wasomi mbalimbali juu ya Bajeti ya Serikali iliyosomwa jana ila cha ajabu wanajadili au kuongelea maswala mengine tofauti huku Bajeti ya nchi wakiipa kisogo kama vile haipo, wakati kwa kawaida Bajeti inaposomwa tu watu mara moja huanza uchambuzi na mijadala jambo ambalo tangu jana mpaka asubuhi ya leo silioni mitandaoni zaidi ya hapa JF ingawa na penyewe mjadala wake umekosa mashiko kabisa.
Binafsi naona hii ni dalili ya watu kukatishwa tamaa na mwenendo wa Bajeti hizi za serikali kiasi kwamba wanaona mambo ni yale yale hivyo wanaona bora tu. waendelee na agenda zingine.
Anyway, ngoja tuone labda kuanzia leo watu wataanza kujijadili hiyo Bajeti.
Wewe lofa bei ikipaa kama huwezi kununua ni wewe na ulofa wako.Bei inapaa na watu wenye pesa zao wananunua wewe ambaye huna pesa utajijua.Dola pia inapaa na watu wananunua .Kupaa bei maana yake watu wana uwezo wa kununua wasingekuwa na uwezo bei ingeshuka sababu wenye viwanda wangeshindwa kuuza sababu kwa bei yao kubwa simenti ingewadodeaMkuu, watu waseme nini wakati hotuba ya bajeti ni kama hotuba kwenye campaign rally?
Mtu serious atoe comment ipi mathalani Mpango anaposema "moja ya mafanikio ya sera za viwanda kati ya 2015 na 2019 ni ongezeko maradufu katika uzalishaji wa ndani wa cement" ilihali huku mtaani tumekuwa tukishuhudia bei ya cement ikipaa kila uchwao tangu awamu ya 5 iingie madarakani?
does it add up kweli?
Ulokole hewa ni shida sana.nakukumbusha tu, angalia dhambi ya kukufuru haisameheki, mambo ya dunia yaishie hapa hapa
Vipi kwny ile sheria yenu ya kipindi mkitoka madarakani mnaogopa kufungwa mmemuweka na Mbowe?hawajui kitu kuhusu bajeti wanachoweza kujadili ni mbowe akilewa akiteleza na kuvunjika mguu huo ndio upeo wao
Bajeti unatakiwa kuwa na kichwa kuijadili
Sina haja ya kukumbushwa kitu nachokipuuzanakukumbusha tu, angalia dhambi ya kukufuru haisameheki, mambo ya dunia yaishie hapa hapa
Yehodava,sijui unafikiri kwa kutumia kiungo gani, watu hawazungumzii chama Wala mtu,watu wanazungumzia bajeti.mambo ya chama na mtu yanatoka wapi?Wewe lofa bei ikipaa kama huwezi kununua ni wewe na ulofa wako.Bei inapaa na watu wenye pesa zao wananunua wewe ambaye huna pesa utajijua.Dola pia inapaa na watu wananunua .Kupaa bei maana yake watu wana uwezo wa kununua wasingekuwa na uwezo bei ingeshuka sababu wenye viwanda wangeshindwa kuuza sababu kwa bei yao kubwa simenti ingewadodea
usiseme hatuna hela sema huna hela.Mbowe kalamba bilioni 8 simenti hata ipande vipi atashindwa kununua? wabunge wa chadema viti maalumu kila mwezi wanakatwa shilingi 1.560,000 kuchangia chadema lakini hawapati mtikisiko wa maisha simenti hata ipandaje watanunua
Tatizo lako wewe ulofa hilo sio tatizo la serikali ni la kwako binafsi pambana na hali yako
Hiyo ni kukuelewesha uelewe vizuri mifano ya bei kupanda maana yake niniYehodava,sijui unafikiri kwa kutumia kiungo gani, watu hawazungumzii chama Wala mtu,watu wanazungumzia bajeti.mambo ya chama na mtu yanatoka wapi?
Simama na elekeza hoja kwenye bajeti,sio kwenye chama Wala mtu.
Hua unabet?
ndiyo lugha zenu kutukana Watanzania malofa.Wewe lofa bei ikipaa kama huwezi kununua ni wewe na ulofa wako.Bei inapaa na watu wenye pesa zao wananunua wewe ambaye huna pesa utajijua.Dola pia inapaa na watu wananunua .Kupaa bei maana yake watu wana uwezo wa kununua wasingekuwa na uwezo bei ingeshuka sababu wenye viwanda wangeshindwa kuuza sababu kwa bei yao kubwa simenti ingewadodea
usiseme hatuna hela sema huna hela.Mbowe kalamba bilioni 8 simenti hata ipande vipi atashindwa kununua? wabunge wa chadema viti maalumu kila mwezi wanakatwa shilingi 1.560,000 kuchangia chadema lakini hawapati mtikisiko wa maisha simenti hata ipandaje watanunua
Tatizo lako wewe ulofa hilo sio tatizo la serikali ni la kwako binafsi pambana na hali yako
Nafuu ipiSasa wewe unataka nn kijadiliwe? kwamba ile nafuu ya waajiriwa itolewe ama?
Pia wanafunzi wanaweza wasimuulize kwa sababu zifuatazoUkiona Mwalimu anawauliza wanafunzi wake, Je kuna swali? Kwa kile alichokifundisha halafu asitokee hata mmoja wa kuinua mkono kutaka kuuliza, maana yake, somo limewaingia na wameelewa!