Zanzibar 2020 Hotuba ya Dkt. Hussein Mwinyi kisiwani Pemba (Julai 19, 2020): Yajayo yanafurahisha

Sawa baada ya hotuba nzuri. Je uchaguzi utakuwa huru na wa haki?
 
Hakika Sheikh, umenena vema.
Ila wameshasema wenyewe "iwe mvua iwe jua watashinda!!"
Mbegu ya chuki na utengano waliyoanza kuipanda miaka ya 60 wakaikoleza miaka ya tisini umeshakuwa mti mkubwa wasubiri matunda yake... Alau Amani Karume alijitahidi kuirudisha Zanzibar katika mstari jambo ambalo watawala hawataki kuona likitokea.
Je ni kwa faida ya muungano kama inavyodaiwa au ni jinamizi baya ambalo halitaacha pande zote salama?
Ama ile kauli "...ningeweza visiwa hivi ningevisukuma mbali.." ndio inatekelezwa kwa njia nyingine?
 
Nitadumisha Muungano wetu ni wa aina yake, na unatiliwa mfano duniani kote.
Nitasimamia maslahi ya Zanzibar kwenye Muungano, Jumuiya ya Afrika Mashariki na Jumuiya za Kimataifa.

Nijuavyo muungano upo kubana/kuminya maslahi ya Zanzibar.Huwezi dumisha muungano na kupigania maslahi ya Zanzibar kwa wakati mmoja. Porojo tupu, tupatieni hiyo plan-of-action tujue mtapigania vipi maslahi ya Zanzibar ndani ya muungano.

Wait utaendeleza vile vikao vya kutatua kero, got it 😉
 
Muungano lazima usimamiwe kwa nguvu zote weka tofauti za kisiasa pembeni.hapo ndo nakosana na upinzani nikisikia hoja zao kuhusu muungano. Sisi n wamoja. Mtuheshimu.
Hapana ,
Muungano huu unalindwa dhidi ya nani?
Usimamiwe kwa kumuogopa nani ? wakati wenyewe tupo na ni nchi mbili tuu,Kinaogopwa nini na nguvu ya Nani?
Kwa sababu gani tunahofia muungano kubadilika au kuvunjika?
Semeni ukweli nini kilichopo hapa ,
Ni Muungano kwa maslahi ya Zanzibar ? Au Tanganyika? Au Kanisa ?
 
Sababu ya maadui wa ndani na nje! Wenye chuki ya umoja na ushirika.

Ūpo Kwa maslahi ya Tanzania na watu wake! Bila kujali Dini zao za kikoloni kandamizi, Hatuna tanganyika. Futa hilo neno la kikoloni. Tuna Tanzania bara na visiwani.
Siyo kulinda muungano tu, hili neno linapitwa na wakati. Tuko kipindi cha United African southern sahara States U.A.S.S.S. Tena kwa nguvu zote hatulembi tunaamini ktk umoja na ushindi mzuri ktk mapambano hutanguliwa na kafara ya damu.kuroka kwakila mmojawetu. Km huwezi huu mtiti anza mapema tupishe!
 


Tunaaamini , hatulembi , hivi nyinyi ndio kanisa katoliki ,

Tumemsikia BASHITE akisema hadharani hii nchi ni ya kanisa






Jumatatu, 2 Mei 2016
Kardinali Pengo: Muungano si bahati nasibu

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
 
YANI TANGU MWAKA 1964 MPAKA LEO MUNAONGOZA NYINYI CCM LKN NAONA MUNATOA AHADI HIZO KILA MWAKA WA UCHAGUZI NAWALA HAKANA CHAMA CHENGINE KILICHOTAWALA ZAIDI YENU
 
ACT na vyama vingine wataruhusiwa kufanya maandamano ya namna hii, hivi hivi?
 
Unataka watu wafute neno la ukoloni mweupe, wakubali la ukoloni mweusi. Mie personally sijawahi kuwa na hisia za kizalendo kwenye uraia wa Tanzania, nimebakia na uzanzibari na nadhani hadi nitarudi kaburini sioni kitachanifanya nibadili mawazo.

Nikupe dondoo kwanini imekuwa hivyo:

  1. Tanzania haina maslahi ya kiuchumi na watu wangu, hii ndio sababu kubwa ya miungano yote kuvunjika au kukataliwa.
  2. Tuna tofauti kubwa ya kiutamaduni
 
Pole mkuu, ndiyo tumeamua hivo wenye nchi.
Mkoloni mweusi ni better by far, so long as tunafanana ni raha tu. Litafia hapahapa tutamtetea tu, wakoloni weupe hatukuwaita. Ndo maana hawakufia hapa..

mweupe? Weeee! Utaisoma number haoni thamani yako! Mpaka leo hawakupendi hataukeshe uchi ukibisha watembelee nchini mwao!

Si kweli kuwa kuna tofauti za kitamaduni. Sisi ni uzao mmoja na visiwani yaani watumwa babu zetu ndo wako huko km wakurya wadengereko! Wanyamwezi nk.

Tofauti ni wale wakoloni waarabu km wewe ni mmojawapo lazima uko tofauti na sisi,sasa hapakufai hapo mkuu.japo hawakupendeni lazimisha.

Leo mimi chogo nikienda ikulu ya uganda, chato, hkn wakunistajabia. lkn nenda ikulu ya Sanaa, ni risasi kichwani ndiyo salamu. Hiyo ni sasa Zamani je? Unatukumbusha? Ili nilie? Silii aluta contin...
 
Nilidhani unapigania umoja kama ulielezea awali, kama umekubali kuwa Tanganyika ni mkoloni kwa Zanzibar na unapendelea hilo kwa ufakhari. Nadhani hicho pia kinaonekana hapo uliposema wazanzibari ni wandengereko na wakurya. Inaonesha uwezo wako wa kufikiri uko mizani gani. Japo hoja ya faida za kiuchumi umeikimbia.

PS

Nikudokeze tuu, mimi si muarabu wala baba yangu hana asili ya Oman. Sio mpemba, na babu zangu wote hadi 10 nyuma hakuna mtu mwenye asili yoyote na Tanganyika. Labda hii itakupa hisia kama mawazo yako uwepo wa wazanzibari ulianzia na utumwa hayana mashiko yoyote, ni pumba tupu.
 

Mtumwa gani yuko zanzibar , ?? Hizo ndizo propaganda za kanisa . Mwarabu gani aliweka mtu mweusi ndani na kumbamikia kesi.

Mkoloni gani mwarabu alikuwa na majumba kila kona ya nchi ?

mwarabu gani alimchukulia mtu mali yake kwa nguvu ? Mwarabu yupi aliuwa watu , aliwatia watu kwenye mifuko ya plastiki na kuwatupa COCO beach ??

Mwarabu gani alikuwa na majeshi kila kipembe cha Zanzibar ??

mwarabu yupi aliwanyima watu vitambulisho na passport ?
 
Labda Shk. Ali Hassan Mwinyi, huyu anaweza kuwa na asili yake ilipotokea huko Tanganyika. Sisemi kama hakuna wazanzibari wenye asili na Tanganyika, lakini hawa ni minority miongoni mwa wazanzibari au tuseme na wasio na asili na Tanganyika wapo tena sio wachache. Get your history facts right bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…