Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

Mbowe hovyo kabisa mbona yeye wenzake kibao anawafanyizia cdm mpaka wanamkimbia na kukishika chama? Na hapo hana madaraka akiwa nayo si ndo atawawinda kama swala huyo?!
 
Anakula mabinti kupitia uenyekiti wake a.k.a rushwa ya ngono
 
Upendeleo kibao anaufanya ndani ya CHADEMA
 
Pesa yote ya cdm anakula peke yake
 
Siasa Zimekwisha X 3
JPM

Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Kaamua Alitakalo.
 
Kweli wacha wamwite huyu jamaa "mwamba" aisee.

Wise, measured, composed, intelligent, fearless - name it!
 
Mambo hubadilika. Wakati yeye yupo hai, alizuia wengine wote kuongea, akabaki anasikika yeye tu. Nadhani huu ndio muda sahihi wa wengine nao kuongea.
 
Mbowe hovyo kabisa mbona yeye wenzake kibao anawafanyizia cdm mpaka wanamkimbia na kukishika chama? Na hapo hana madaraka akiwa nayo si ndo atawawinda kama swala huyo?!
MR.K ,mbona umepaniki ,Magufuli ameshafariki unajua hilo?
 
Hotuba imeshiba
 
Hivi Mzee Kinana amepitia hotuba hii kabambe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…