EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Habari za leo wana JamiiForums,
Natumai muwazima wa afya njema.
Leo nilikua naangalia hotuba ya Rais wa U. S aliyechaguliwa bwana Joe Biden.
Kwakweli ukimsikiliza kwa umakini Joe Baden unaweza mfananisha na Obama kwa jinsi anavyo hutubia. Mimi nadhani tutarajie yale aliyoyafanya Obama ndio hayo atakayoyafanya Joe Biden.
Huyu jamaa anaweza kurudisha heshima ya U.S. Kwasababu anaonekana ana kichwa kilicho tulia ukimlinganisha na mzee wetu Trump.