EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Kaikopi hotuba ya JPM huyu jamaa yakoHabari za leo wana JamiiForums,
Natumai muwazima wa afya njema.
Leo nilikua naangalia hotuba ya Rais wa U. S aliyechaguliwa bwana Joe Biden.
Kwakweli ukimsikiliza kwa umakini Joe Baden unaweza mfananisha na Obama kwa jinsi anavyo hutubia. Mimi nadhani tutarajie yale aliyoyafanya Obama ndio hayo atakayoyafanya Joe Biden.
Huyu jamaa anaweza kurudisha heshima ya U.S. Kwasababu anaonekana ana kichwa kilicho tulia ukimlinganisha na mzee wetu Trump.
πππππππππKaikopi hotuba ya JPM huyu jamaa yako
kwaniniKaikopi hotuba ya JPM huyu jamaa yako
JB hawezi kuandika hotuba nzuri vile; ni kati ya viongozi waliokuwa wanapenda intaneti isizimwe ili afuatilie hotuba ya JPM aitumie kwenye speech yake. Huyu jamaa sijui wamemtoa wapi??? Natamani kesi za Trump zifanikiwe ili aendelee tu muhula wake wa pili.kwanini
Mmmmmm, okayJB hawezi kuandika hotuba nzuri vile; ni kati ya viongozi waliokuwa wanapenda intaneti isizimwe ili afuatilie hotuba ya JPM aitumie kwenye speech yake. Huyu jamaa sijui wamemtoa wapi??? Natamani kesi za Trump zifanikiwe ili aendelee tu muhula wake wa pili.
Kule Twitter kuna jamaa kasema Obama karudi white house kiaina.... Na ukufuatilia tweets za Obama yuko extremely happy kwa ushindi wa Joe.Habari za leo wana JamiiForums,
Natumai muwazima wa afya njema.
Leo nilikua naangalia hotuba ya Rais wa U. S aliyechaguliwa bwana Joe Biden.
Kwakweli ukimsikiliza kwa umakini Joe Baden unaweza mfananisha na Obama kwa jinsi anavyo hutubia. Mimi nadhani tutarajie yale aliyoyafanya Obama ndio hayo atakayoyafanya Joe Biden.
Huyu jamaa anaweza kurudisha heshima ya U.S. Kwasababu anaonekana ana kichwa kilicho tulia ukimlinganisha na mzee wetu Trump.
Hakuna muda ambao O-bar-mar aliwahi kuaibika na kuugua kama ile 2016 kwa miaka 4 ya Mr Trump. Nadhani sasa unaelewa kwa nini anafuraha kiasi hicho. Halafu huyo muda wowote anateuliwa na JB kuwa Jaji wa Supreme CourtKule Twitter kuna jamaa kasema Obama karudi white house kiaina.... Na ukufuatilia tweets za Obama yuko extremely happy kwa ushindi wa Joe.
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
πππHakuna muda ambao O-bar-mar aliwahi kuaibika na kuugua kama ile 2016 kwa miaka 4 ya Mr Trump. Nadhani sasa unaelewa kwa nini anafuraha kiasi hicho. Halafu huyo muda wowote anateuliwa na JB kuwa Jaji wa Supreme Court