Hotuba ya karne ya Humphrey Polepole iliyowainua watu Mlimani City 2014

Amb. Humphrey Herson Polepole anazidi kutoa elimu


View: https://m.youtube.com/shorts/aYyieZ_VKls
 
Mange Kimambi aongea jambo zito kuhusu vuguvugu / movement, inahitaji waTanzania wote bila kujali kama ni mwanaCCM au la, na kuongeza kuwa Humphrey Polepole tumpokee kwa mikono miwili katika kusukuma wimbi letu la mabadiliko.

Dada wa taifa Mange Kimambi aongeza hata Nape Nnauye, au January Makamba wakiamua kukosoa utawala uliopo na kujiunga na movement tumpokee ...


View: https://m.youtube.com/watch?v=2M1GZQZKb-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…