and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Sumuta atatoa hotoba ya mwaka mpya kule jehanam.Kama mjuavyo tunauaga mwaka 2025 kwa kishindo cha Ushindi wa 97.6%. Hivyo kama ilivyo kawaida ya Mheshimiwa kutoa Hotuba ya kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya. Je Hotuba itarushwa saa ngapi? Televisheni gani? Dondoo za hotuba?
ahadi za siku 100 zimefikia wapi?Kama mjuavyo tunauaga mwaka 2025 kwa kishindo cha Ushindi wa 97.6%. Hivyo kama ilivyo kawaida ya Mheshimiwa kutoa Hotuba ya kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya. Je Hotuba itarushwa saa ngapi? Televisheni gani? Dondoo za hotuba?
Wameshajisahau kuwa alifika pale vatcan.Asataghafirullah
View attachment 3522896
Itarushwa leo saa 3:00 usiku TV zote, radio zote na mitandao yote. Ikulu | MwanzoKama mjuavyo tunauaga mwaka 2025 kwa kishindo cha Ushindi wa 97.6%. Hivyo kama ilivyo kawaida ya Mheshimiwa kutoa Hotuba ya kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya. Je Hotuba itarushwa saa ngapi? Televisheni gani?
Tutarajie makubwa. US, UK na European Union wajipangeItarushwa leo saa 3:00 usiku TV zote, radio zote na mitandao yote.
P
Lini atafanya ziara Nchi nzima kutushukuru Wapiga kura wake?Itarushwa leo saa 3:00 usiku TV zote, radio zote na mitandao yote.
P