Hotuba ya Lema kulikoni kwenye mkutano mkuu wa Bavicha sijaona bashasha zako za siku zote?

Joined
Jul 31, 2026
Posts
18
Reaction score
61
Leo Kwenye mkutano mkuu wa Bavicha Taifa mjini Dodoma Lema alipewa fursa ya kuongea. Hata hivyo kuna vitu viwili sikuviona.

1. Aliongea na kwa muda mfupi sana na hakukuwa na presha ya kuharakishwa kumaliza.
2. Hakuongea kwa moyo kama desturi yake. Aliongea kama mtu ameandi
 

..mbona kaongea vizuri Lema.

..Na amewapongeza Bavicha kwa mkutano mkubwa.

..Pia amewapa usia mzuri kwamba wajitofautishe kitabia, kimaadili, na mitizamo, na mabaraza mengine, ili waaminike zaidi.

..Vilevile amewapongeza kwa kusema vijana WAMETISHA kwa mahudhurio yao.
 
hajawasisitiza kutukana na kuporomosha matusi zaidi?🐒
 
Tatizo linaanzia kwa mtu kuleta mada kwa kutegemea hisia binafsi alizonazo yeye juu ya anayemzungumzia, na kuacha uhalisia ulioonekana.

Pengine tafsiri yake kaiegemeza kwenye maswala yaliyo tofauti na hadhara hiyo anayoizungumzia yeye kwenye mada yake.
 
Roho ina msuta yeye na mshika kiimbio shida kwao kwanini mwana kondoo aliyepotea karudi zizini, wanajisahaulisha kuwa mwana kondooalondoka zizini kutokana na figisu za Dj na mshika kiimbio, ajabu mshika kiimbio alibadili gia angani wakati ndege inaelekea kutua kwenye wala ubwabwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…