Pre GE2025 Hotuba ya Lissu Uchaguzi Mkuu CHADEMA: Asema amekuwa na Mbowe kwa zaidi ya miaka 20 bila kugombana, amshukuru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu ambao utaenda kuamua nani atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Lissu amshukuru Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe kwa kufanya nae kazi kwa kipindi cha miaka 20, licha ya kutofautiana kimitazamo lakini amekiri hawajawahi kugombana.

"Mheshimiwa mwenyekiti nakushukuru sana na naomba niiseme hii hapa. Nimekaa pembeni ya Mwenyekiti wetu wa Chama mfululizo kwa miaka zaidi ya 20 na katika kipindi chote hicho hatajawahi kugombana, hatujawahi kupigana mimi na yeye binafsi. Ndio tumetofautiana kimsimamo lakini hatujawahi kugombana. Sijawahi kuwa na ugomvi na mwenyekiti na natumaini hili litaendelea baada ya leo Mwenyekiti"

LISSU CHALIIIII MAMLUKI WA SIASA CHAFU HAWEZI KUWA KIONGOZI BORA NA DNDIYO MAANA ANAFELI MAPEMAA
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu ambao utaenda kuamua nani atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Lissu amshukuru Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe kwa kufanya nae kazi kwa kipindi cha miaka 20, licha ya kutofautiana kimitazamo lakini amekiri hawajawahi kugombana.

"Mheshimiwa mwenyekiti nakushukuru sana na naomba niiseme hii hapa. Nimekaa pembeni ya Mwenyekiti wetu wa Chama mfululizo kwa miaka zaidi ya 20 na katika kipindi chote hicho hatajawahi kugombana, hatujawahi kupigana mimi na yeye binafsi. Ndio tumetofautiana kimsimamo lakini hatujawahi kugombana. Sijawahi kuwa na ugomvi na mwenyekiti na natumaini hili litaendelea baada ya leo Mwenyekiti"

Mheshimiwa mwenyekiti nakushukuru sana na naomba niiseme hii hapa. Nimekaa pembeni ya Mwenyekiti wetu wa Chama mfululizo kwa miaka zaidi ya 20 na katika kipindi chote hicho hatajawahi kugombana, hatujawahi kupigana mimi na yeye binafsi. Ndio tumetofautiana kimsimamo lakini hatujawahi kugombana. Sijawahi kuwa na ugomvi na mwenyekiti na natumaini hili litaendelea baada ya leo Mwenyekiti"💪🏿👌🏿
 
Mbambamba haziishi!

Wapige kura bana ebooo!
 
Hahaha nilitegemea Team Lisu wangemzomea, hawataki maridhiano yoyote, wanataka vita.
 
Mheshimiwa mwenyekiti nakushukuru sana na naomba niiseme hii hapa. Nimekaa pembeni ya Mwenyekiti wetu wa Chama mfululizo kwa miaka zaidi ya 20 na katika kipindi chote hicho hatajawahi kugombana, hatujawahi kupigana mimi na yeye binafsi. Ndio tumetofautiana kimsimamo lakini hatujawahi kugombana. Sijawahi kuwa na ugomvi na mwenyekiti na natumaini hili litaendelea baada ya leo Mwenyekiti"💪🏿👌🏿
Alikuwa anamtuhumu kulambishwa asali, kupewa pesa na Abduli, kuwashughulikia aliotofautiana nae ( akiwemo yeye mwenyewe) kwa sababu ya mapenzi yake kwake?

Amandla...
 
Nimemuelewa Mh Lissu..walitofautiana kwenye MItizamo ya ISSUES muhimu kama MARIDHIANO( 4R) na RUSHWA
 
Iko hivi, waridhiane mbowe awe mwenyekiti na lissu mgombea urais, imeisha hiyo, watakuwa wamemzuga adui yao kwa kumpiga chenga
 
Back
Top Bottom