Hotuba ya Magufuli...hehehe Watanzania mnalo, naona hii sawa

Hotuba ya Magufuli...hehehe Watanzania mnalo, naona hii sawa

Umempa kaka,akikujibu ni kichaa

Hana alichoongea hapo ZAIDI ya ngonjela. Yaani yeye madili yaliyokuwa yakipigwa enzi hizo bila mtu yeyote kushughulikiwa ndo aliona mtindo mzuri!!?? Wale wote waliojizoeza kupiga dili enzi zile hawawezi tena, wale wa meno ya tembo, bandarini, madawa ya kulevya n.k. hawawezi kumfurahia. Wanalia na kusaga meno.

CC: Nzi
 
[emoji116]
c192b2896a155fda249b2a43b634c4b7.jpg
 
Mihimili ipo, rais si ni mtu wa kawaida tu kama wengine. Au wewe unahisi mtu akichaguliwa kuwa rais, tena kwa kura zetu, anaacha kuwa binadamu alafu anakuwa malaika? Rais kazi yake ni kuunganisha nchi. Hayo mengine ya kutunishiana misuli yaliisha na watawala wa mikoa wakati wa ukoloni.
Tatzo wapinzani wa tz hawana cha maana cha kufanya waandamanee ...so hatuwezi kumpinga magu et kisa upinzani hawapendi maendeleo..wangekua na sababu za msingi sawa BT hakuna sababu na anaeenginer hayo maandamano ni mpuuz mmoja yupo LA sijui katumwa na nan..
Kifup we luv our country and hatutakua wajinga ka libya
 
Funny, you forget that Magufuli has been part of the rotten system for 20+ years as a senior public servant and member of the Cabinet. And that Magufuli himself is very corrupt and a crook just like other CCM crooks: Kikwete, Lowassa, Mkapa, Chenge, Ngeleja etc. All of the ufisadi you talk, CCM is to blame. And the same CCM is still in power.

Ufisadi bado upo sana, ila sasa upo controlled na Magufuli and his posse. Sasa Magufuli ndiyo exchequer, mpanga bajeti, muidhinishaji wa matumizi ya pesa za umma n.k. Halafu fools like you believe he is anti-corruption.

Ni kweli Magufuli anafanya maajabu ambayo hatujawahi kuyashuhudia Tanzania, kwa sababu he is so vile, sadist, and a wannable dictator. Hatujawahi kushuhudia a top polician's assassination attempt inside a secured government housing estate! Hatujawahi kuona maiti za watu zikiokotwa pwani kama masalia ya matumbawe. Yes, chaguzi zetu siku zote zipo rigged, but hatujawahi kushuhudia chaguzi zikiambatana na extreme and violent use of state policing machineries kama sasa. On top of these, uchumi unakwenda alijojo, watu wanaogopa, watu hawana furaha, wafanyakazi wanafukuzwa kama panya, n.k.

Ever asked yourself if Magufuli has good intentions with Tanzania, kwanini anafanya mambo gizani? Kwanini kajitoa kwenye OGP? Kwanini hataki sisi walipa kodi na wenye nchi kuwa na taarifa zote zinazohusu pesa za umma, na matumizi yake?

If this sorry **s of a president is genuine let him ammend the constitution to allow for incumbent and retired presidents to be court sanctioned for mistakes that they did before and when in Office.
Idiot
 
Mkuu kwa hili tuonee huruma tu
Rwanda walianza hivi Burundi haya haya Uganda ndio balaaa sasa Tz inanuka
Maandamano ya Amani ni njia sahihi ya kutuma ujumbe kwa viongozi
Uhuru mstaarabu sana na muungwana hana vijembe wala matusi wala vitisho huyu wa kwetu ni hatareeee so Mkuu tuhurumie tu!
Hama nchii uko free kwenda popote...nchi INA watu zaidi ya million 50 so kimtazamo chako hakiwezi sumbua...na kama mambo yote alobadilisha magu huoni faida zake hapo mbele we we utakua umeishia LA saba
 
Watanzania wamejitutumua wanataka kuandamana kama Kenya, sasa Magufuli ametoa mikwara balaa na kuwa mkali hadi hatari. Kwa jinsi ninajijua kwamba huwa sina uvumilivu, binafsi naona sawa, naona kama kuna cha kuiga hapa kwa marais wa Afrika.



Huku kenya hatukatazi mtu kuandamana hiyo ni haki yake kimsingi kwani mmeshuhudia pamoja na kuandamana na kujiapisha mwisho upinzani umeona haisaidii na kukubali kukaa chini kuyaongea. Na hiyo haimaanishi kuwaachia wanaichi wako waandamane basi wewe ni kiongozi dhaifu.
 
That man in the state house is capable of anything...even killing his own people.


Acheni kuandamana jamani.
 
..unaweza kufikiri hizo RISASI ananunua kwa fedha zake za mfukoni.

..hapana, risasi zinanunuliwa kutokana na KODI ya haohao aliodhamiria KUWAUWA.
 
MK254 nakubaliana na wewe, Rais inabidi awe authoritative and firm sio kupelekeshwa pelekeshwa tu. Magu Kama kitu hapendi anasema crystal clear kwamba atalala nao mbele wote ambao wataenda kinyume, kiongozi inabidi awe hivyo. Mambo ya Kenyatta kuongea na Odinga ni kumpa Odinga sifa asizostahili
 
Wewe huwa unakurupuka kutoka kwenye shimo gani, maandamano huleta heshima, husababisha watu wanaskizwa, husababisha nchi inasonga mbele badala ya kuendeshwa kama maboya, husaidia kumfahamisha rais kwamba nchi sio ya babake wala mamake bali ya raia wote, kwamba hana uwezo wa kufanya atakacho muda autakao sikua aitakayo.

Kenya imepiga hatua sana kwa ajili ya maandamano, binafsi zamani nilikua nahusika sana, na nikipata fursa lazima niingie barabarani na kusema yangu ya moyoni tena nikiimba.

Sasa likija kwa Tanzania, kwanza wenyewe mpo waoga, uwezo huo hamuna, hulka yenu huwa ya kiuwoga uwoga na ndio maana haya maandamano yanaendeshwa na mwanamke aliye Ulaya, maana mijitu hapo hamuwezi hata kuongea. Pili, nyie ni wazembe na wavivu sana kiasi mkiandamana mnairudisha nchi nyuma na ndio maana naunga kauli za rais wenu mfanye kazi na kuacha kuiga Kenya maana sisi hata tukiandamana, tunapiga kazi nchi inaendelea na kuongoza kiuchumi, kielimu na kila kitu.
Mnaongoza kwenye kila kitu!! Umenogewa kuandika mpaka una andika pumba
 
Tanzania ndio nchi ambayo kweli ina Rais, kiongozi wa nchi anatakiwa awe na sauti sio Rais unaburuzwa tu kifala na kundi la wahuni no Rais anatakiwa asimame anaplay part ya urais kama kiongozi mkuu wa nchi

Huko Kenya hamna Rais mna toy pale ikulu ambae mnaweza kumuendesha mnavyotaka kama TV na remote control, nope Tanzania that's not applicable, order first.
Wewe utakuwa mjaluo, spirit ya ukabila inakutesa, ndo maana baada ya kuanza kuishi Kenya, nimechukua demu wa kijaluo, namgegeda hasa labda ukabila utaisha kwenu.
Mmepata rais anayeheshimu katiba, utu na haki ya raia wake unasema eti ni toy, toy ni wewe, unaependa damu za watu
 
We have a funny president who cannot speak ten English sentences
Hajui kiswahili fasaha afadhali hata Nkurunziza na Kagame
Sasa tutamuelewaje mtu asiyejua tofauti ya
R na L
A tyrannical village bully
 
Back
Top Bottom