Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu bulldozer Ni muoga balaa! Mwambie kagame aje achukue Jamaa ake! We're tired with this dude!na leo karudia tena
Mkuu MK254, achana na misukule kutoka huku kwetu tz! Ni mapunguaniWewe huwa unakurupuka kutoka kwenye shimo gani, maandamano huleta heshima, husababisha watu wanaskizwa, husababisha nchi inasonga mbele badala ya kuendeshwa kama maboya, husaidia kumfahamisha rais kwamba nchi sio ya babake wala mamake bali ya raia wote, kwamba hana uwezo wa kufanya atakacho muda autakao sikua aitakayo.
Kenya imepiga hatua sana kwa ajili ya maandamano, binafsi zamani nilikua nahusika sana, na nikipata fursa lazima niingie barabarani na kusema yangu ya moyoni tena nikiimba.
Sasa likija kwa Tanzania, kwanza wenyewe mpo waoga, uwezo huo hamuna, hulka yenu huwa ya kiuwoga uwoga na ndio maana haya maandamano yanaendeshwa na mwanamke aliye Ulaya, maana mijitu hapo hamuwezi hata kuongea. Pili, nyie ni wazembe na wavivu sana kiasi mkiandamana mnairudisha nchi nyuma na ndio maana naunga kauli za rais wenu mfanye kazi na kuacha kuiga Kenya maana sisi hata tukiandamana, tunapiga kazi nchi inaendelea na kuongoza kiuchumi, kielimu na kila kitu.