Hotuba ya Mbowe kuhusu Utekaji na Maasai wa Ngorongoro yazaa matunda

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Tarehe 22/8/2024 CHADEMA kilifanya mkutano na vyombo vya Habari uliohutubiwa na Mwenyekiti wa chama hicho FAM.

Mbowe aligusia maeneo makuu mawili. Mosi, Utekaji, pili, Maasai wa Ngorongoro. Baada ya mkutano huo yafuatayo yameanza kujitokeza na kutekelezwa;

1. Baada tu ya hotuba hiyo kesho yake serikali ilitangaza kurudishwa kwa huduma za kijamii Ngorongoro.

2. Jeshi la polisi limeanza utaratibu wa kutoa taarifa mara kwa mara kwa umma juu ya utekaji na waliotekwa siku za nyuma.

3. Pamoja na Jeshi la polisi kutajwa kuwa linahusika na utekaji hadi sasa halijakanusha.

4. Kikosi cha Task Force ndani ya Jeshi la polisi kilichotajwa kuhusika na utekaji, mbali ya wahusika kutajwa kwa majina yao na vyeo vyao na sehemu wanapofanyia kazi wahusika hawajawahi kukana.

4. Zipo taarifa kuwa sehemu iliyotajwa na Mbowe kuwa ipo nyuma ya kituo cha polisi Chang’ombe ambapo kulikuwa na karakana kuu ya kutesea mateka imebomolewa.

5. Mara baada ya Mbowe kutishia kutaja sehemu ambayo mateka na maiti zao hupelekwa, Halmashauri ya Mkuranga imetangaza tenda ya kuzika maiti zisizotambulika.

Hii inaonyesha dhahiri kuwa kilichosemwa na Mbowe kwenye hotuba hiyo kilikuwa na uhakika kwa asilimia kubwa.
 
From Boniface Jacob (ExMayor)

UPDATES KUTOKA TEMEKE

Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kutoa tamko kuhusu hali ya usalama Tanzania utekaji unaoendelea sehemu mbalimbali

Mwenyekiti alienda mbali kutaja majina ya watu wa TASK FORCE wanaosadikiwa kuwa chini ya ZCO Faustine Mafwele.

Habari mpya ni kuhusu banda la mabanzi nyuma ya kituo cha Polisi Chang'ombe ambapo Mwenyekiti Mbowe alisema kuwa ndiyo watu wanasulubiwa na kuteswa baada ya kutekwa.

1. Sasa banda hilo la mateso hapo Chang'ombe limevunjwa na kusafishwa kote

2. Magari mabovu yaliyokuwa yamezunguka eneo hilo kutengeneza umbo la "U" kukinga eneo la mabanzi yameondolewa na mengine yamepangwa vizuri kiasi cha kuwa peupe na kuondoa kificho.

N.B
Tunasubiri kuona akina Deusdedith Soka, Jacob Godwin Mlay na Frank Mbise wakiachiwa huru.

Au Kwa lugha ya watekaji wenyewe tunasema tunasubiri waachie misukule waliyoificha na kushikilia.
 
Tarehe 22/8/2024 CHADEMA kilifanya mkutano na vyombo vya Habari uliohutubiwa na Mwenyekiti wa chama hicho FAM.

Mbowe aligusia maeneo makuu mawili. Mosi, Utekaji, pili, Maasai wa Ngorongoro. Baada ya mkutano huo yafuatayo yameanza kujitokeza na kutekelezwa;

1. Baada tu ya hotuba hiyo kesho yake serikali ilitangaza kurudishwa kwa huduma za kijamii Ngorongoro.

2. Jeshi la polisi limeanza utaratibu wa kutoa taarifa mara kwa mara kwa umma juu ya utekaji na waliotekwa siku za nyuma.

3. Pamoja na Jeshi la polisi kutajwa kuwa linahusika na utekaji hadi sasa halijakanusha.

4. Kikosi cha Task Force ndani ya Jeshi la polisi kilichotajwa kuhusika na utekaji, mbali ya wahusika kutajwa kwa majina yao na vyeo vyao na sehemu wanapofanyia kazi wahusika hawajawahi kukana.

4. Zipo taarifa kuwa sehemu iliyotajwa na Mbowe kuwa ipo nyuma ya kituo cha polisi Chang’ombe ambapo kulikuwa na karakana kuu ya kutesea mateka imebomolewa.

5. Mara baada ya Mbowe kutishia kutaja sehemu ambayo mateka na maiti zao hupelekwa, Halmashauri ya Mkuranga imetangaza tenda ya kuzika maiti zisizotambulika.

Hii inaonyesha dhahiri kuwa kilichosemwa na Mbowe kwenye hotuba hiyo kilikuwa na uhakika kwa asilimia kubwa.
Unapokuwa kiongozi wa nchi, na mambo ya kusikitisha namna hii yanatokea nchini mwako ni aibu kubwa.

Hao viongozi alio wapa majukumu ya kusimamia wizara, kama Masabuni; sasa badala ya kumjengea sifa nzuri wanamharibia huku wakisingizia lengo la kumrudisha madarakani kwa njia za uovu kama huu wa utekaji watu.
 
Ila nasikia sasa Tanzania au Watanzania kuna mmoja ni Simba na sisi tuliobaki ni Mbwa.......hadi 2025 ifike tutakua tumebadilishiwa majina yote ya Wanyama, wewe ungependa kuitwa Nani? Ili tumrahisishie KAZI.....

1. Chawa
2. Mbwa
3. Simba
 
Mbowe anasaidia sana kuondoa vitendo vya kijinga vinavyofanywa na serikali hii ovu.Ninachowashauri chadema wapandikize watu wa chadema kwenye vyombo vya ulinzi ili chochote kinachofanyika Cha kihuni kama haya ya kutekwa yajulikane na umma ujue.Mboe kagusia kidogo tu na utekelezaji wa kubomoa karakana ya kuua watu imevunjwa,Kwa maana hiyo sauti ya mbowe inamfikia kiurahisi anayejiita ameziba masikio tofauti na wakisema wananchi wanakuwa hawasikilizwi.Hivi ninyi wasimamia haki Huwa mnajisikiaje mnapotesa watanzania Kwa sababu nyepesi tu za kumkosoa huyo mungu wenu?
 
Ccm ndio kawaida yao na tabia ovu wanayoifanya ay utekaji na sema hivyo kwasababu policcm kiuhalisia hayo kisheria sio kazi yao ila wanatumwa na watawala ili kutokupata changamoto kwemye uongozi wao kutoka upande wa pili wa vyama za siasa kwa hiyo hutumia vyombo vya dola na vyombo vyengine vya usalama ili kuwafanya wananchi wasiweze kuhoji yale matendo yao mabaya kwenye uongozi na kupata upinzani kwenye chaguzi.

Humu utaona machawa wanasifia sana na kufurahia ya le policcm wanayoyafanya juu y a upinzani kama wa apendwa na wamanchi kwanini ukifika uchaguzi hutumia nguvu ili washinde hawawachi wananchi wakachagua wanaowapenda bali hutumia mbinu za kuiba kura na kuteka wagombea wa upinzani na kujitangaza kupita bila kupingwa?

Ujinga tu.
 
Tarehe 22/8/2024 CHADEMA kilifanya mkutano na vyombo vya Habari uliohutubiwa na Mwenyekiti wa chama hicho FAM.

Mbowe aligusia maeneo makuu mawili. Mosi, Utekaji, pili, Maasai wa Ngorongoro. Baada ya mkutano huo yafuatayo yameanza kujitokeza na kutekelezwa;

1. Baada tu ya hotuba hiyo kesho yake serikali ilitangaza kurudishwa kwa huduma za kijamii Ngorongoro.

2. Jeshi la polisi limeanza utaratibu wa kutoa taarifa mara kwa mara kwa umma juu ya utekaji na waliotekwa siku za nyuma.

3. Pamoja na Jeshi la polisi kutajwa kuwa linahusika na utekaji hadi sasa halijakanusha.

4. Kikosi cha Task Force ndani ya Jeshi la polisi kilichotajwa kuhusika na utekaji, mbali ya wahusika kutajwa kwa majina yao na vyeo vyao na sehemu wanapofanyia kazi wahusika hawajawahi kukana.

4. Zipo taarifa kuwa sehemu iliyotajwa na Mbowe kuwa ipo nyuma ya kituo cha polisi Chang’ombe ambapo kulikuwa na karakana kuu ya kutesea mateka imebomolewa.

5. Mara baada ya Mbowe kutishia kutaja sehemu ambayo mateka na maiti zao hupelekwa, Halmashauri ya Mkuranga imetangaza tenda ya kuzika maiti zisizotambulika.

Hii inaonyesha dhahiri kuwa kilichosemwa na Mbowe kwenye hotuba hiyo kilikuwa na uhakika kwa asilimia kubwa.
Mpala akina Soka wapatikane ndio matunda
 
Intel ya Chadema ni kali.

Mbowe aldhihirisha pasi na shaka kuwa wana vyombo vyao vya uchunguzi ndani ya Polisi, usalama na Jwtz.

Hiki ndio chama cha siasa bwana.
Hakuna Siri Kama Jambo limetendwa na zaidi ya mtu mmoja especially Kama mwanamke amehusika.
 
Kubwa la maadui
 
Attachments

  • 20240825_075753.jpg
    20240825_075753.jpg
    6.2 KB · Views: 2
  • 20240825_075745.jpg
    20240825_075745.jpg
    24.7 KB · Views: 2
Tarehe 22/8/2024 CHADEMA kilifanya mkutano na vyombo vya Habari uliohutubiwa na Mwenyekiti wa chama hicho FAM.

Mbowe aligusia maeneo makuu mawili. Mosi, Utekaji, pili, Maasai wa Ngorongoro. Baada ya mkutano huo yafuatayo yameanza kujitokeza na kutekelezwa;

1. Baada tu ya hotuba hiyo kesho yake serikali ilitangaza kurudishwa kwa huduma za kijamii Ngorongoro.

2. Jeshi la polisi limeanza utaratibu wa kutoa taarifa mara kwa mara kwa umma juu ya utekaji na waliotekwa siku za nyuma.

3. Pamoja na Jeshi la polisi kutajwa kuwa linahusika na utekaji hadi sasa halijakanusha.

4. Kikosi cha Task Force ndani ya Jeshi la polisi kilichotajwa kuhusika na utekaji, mbali ya wahusika kutajwa kwa majina yao na vyeo vyao na sehemu wanapofanyia kazi wahusika hawajawahi kukana.

4. Zipo taarifa kuwa sehemu iliyotajwa na Mbowe kuwa ipo nyuma ya kituo cha polisi Chang’ombe ambapo kulikuwa na karakana kuu ya kutesea mateka imebomolewa.

5. Mara baada ya Mbowe kutishia kutaja sehemu ambayo mateka na maiti zao hupelekwa, Halmashauri ya Mkuranga imetangaza tenda ya kuzika maiti zisizotambulika.

Hii inaonyesha dhahiri kuwa kilichosemwa na Mbowe kwenye hotuba hiyo kilikuwa na uhakika kwa asilimia kubwa.
Hivi hiki kikosi KAZI cha utekaji wataalam wetu wameshindwa hata kuwaroga wawe mataahira?😠
 
Inaonekana kuna mambo yanafanyika kisirisiri bila Mama kujua.
 
Back
Top Bottom