Hotuba ya Mbowe kuhusu Utekaji na Maasai wa Ngorongoro yazaa matunda

Tarehe 22/8/2024 CHADEMA kilifanya mkutano na vyombo vya Habari uliohutubiwa na Mwenyekiti wa chama hicho FAM.

Mbowe aligusia maeneo makuu mawili. Mosi, Utekaji, pili, Maasai wa Ngorongoro. Baada ya mkutano huo yafuatayo yameanza kujitokeza na kutekelezwa;

1. Baada tu ya hotuba hiyo kesho yake serikali ilitangaza kurudishwa kwa huduma za kijamii Ngorongoro.

2. Jeshi la polisi limeanza utaratibu wa kutoa taarifa mara kwa mara kwa umma juu ya utekaji na waliotekwa siku za nyuma.

3. Pamoja na Jeshi la polisi kutajwa kuwa linahusika na utekaji hadi sasa halijakanusha.

4. Kikosi cha Task Force ndani ya Jeshi la polisi kilichotajwa kuhusika na utekaji, mbali ya wahusika kutajwa kwa majina yao na vyeo vyao na sehemu wanapofanyia kazi wahusika hawajawahi kukana.

4. Zipo taarifa kuwa sehemu iliyotajwa na Mbowe kuwa ipo nyuma ya kituo cha polisi Chang’ombe ambapo kulikuwa na karakana kuu ya kutesea mateka imebomolewa.

5. Mara baada ya Mbowe kutishia kutaja sehemu ambayo mateka na maiti zao hupelekwa, Halmashauri ya Mkuranga imetangaza tenda ya kuzika maiti zisizotambulika.

Hii inaonyesha dhahiri kuwa kilichosemwa na Mbowe kwenye hotuba hiyo kilikuwa na uhakika kwa asilimia kubwa.
Naunga mkono hoja
 
Hizo kazi zilizotangazwa za kuzika kama ni kweli basi mkaangalie maiti hizo labda wako huko
 
Hongera sana Mbowe na CDM wote
Hongera sana TEC
Hongera mashirika ya kutetea haki za bonadamu
Hongera sana Jamii za Kimataifa
 
Tarehe 22/8/2024 CHADEMA kilifanya mkutano na vyombo vya Habari uliohutubiwa na Mwenyekiti wa chama hicho FAM.

Mbowe aligusia maeneo makuu mawili. Mosi, Utekaji, pili, Maasai wa Ngorongoro. Baada ya mkutano huo yafuatayo yameanza kujitokeza na kutekelezwa;

1. Baada tu ya hotuba hiyo kesho yake serikali ilitangaza kurudishwa kwa huduma za kijamii Ngorongoro.

2. Jeshi la polisi limeanza utaratibu wa kutoa taarifa mara kwa mara kwa umma juu ya utekaji na waliotekwa siku za nyuma.

3. Pamoja na Jeshi la polisi kutajwa kuwa linahusika na utekaji hadi sasa halijakanusha.

4. Kikosi cha Task Force ndani ya Jeshi la polisi kilichotajwa kuhusika na utekaji, mbali ya wahusika kutajwa kwa majina yao na vyeo vyao na sehemu wanapofanyia kazi wahusika hawajawahi kukana.

4. Zipo taarifa kuwa sehemu iliyotajwa na Mbowe kuwa ipo nyuma ya kituo cha polisi Chang’ombe ambapo kulikuwa na karakana kuu ya kutesea mateka imebomolewa.

5. Mara baada ya Mbowe kutishia kutaja sehemu ambayo mateka na maiti zao hupelekwa, Halmashauri ya Mkuranga imetangaza tenda ya kuzika maiti zisizotambulika.

Hii inaonyesha dhahiri kuwa kilichosemwa na Mbowe kwenye hotuba hiyo kilikuwa na uhakika kwa asilimia kubwa.
Hii inaonyesha dhahiri kuwa kilichosemwa na Mbowe kwenye hotuba hiyo kilikuwa na uhakika kwa asilimia kubwa.📌🔨
 
Taarifa ya polisi leo 26/8/2024

1724663360380.png

1724663460336.png
 
Back
Top Bottom