Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Bonyeza nyagi kupata kichekesho hiki
Bonyeza nyagi kupata kichekesho hiki
Mchungaji muongo muongoMsigwa hawezi kuaminika popote labda kwa mke wake tu
Huyu anatumika tu kupima upepo,hata yeye anajua hawezi kuwa Rais kwa sababu ameshakiri kuwa ni msema uongo
[emoji23][emoji1787][emoji2960]Bonyeza nyagi kupata kichekesho hiki
Sio lazima usome kila kitu..Mtandaoni watu hawana muda wa kukodolea mihotuba mirefu. Hebu afanye muhtasari wake tafadhali.
Wewe tofauti na nguo unazovaa tu nani mwingine anaweza kukuamini ?Msigwa hawezi kuaminika popote labda kwa mke wake tu
Huyu anatumika tu kupima upepo,hata yeye anajua hawezi kuwa Rais kwa sababu ameshakiri kuwa ni msema uongo
Mkuu umezungumzia elimu yake ya kuungaunga, vipi elimu ya bwana yule?Msigwa ni msanii tu, kwanza elimu yake ni ya kuungaunga, hatuwezi kuwa na Raisi wa staili hiyo, ni Aibu kwa Taifa
Msigwa kawadanganya wafadhili wale wazungu kuwa Wampe hela agombee Uraisi,
Aliwadanganya akaanzisha kanisa, Mwaka huu wamempa hela kawadanganya anafaa kuwa Rais, Wakati anajua Chadema hakitampitisha,
Lengo la kuu ni kuwatapeli wale wafadhili
Msigwa acha uhuni na utapeli
Hivi agenda ya kuvamiwa na kushambuliwa kwa Mbowe imeishia wapi? mbona hamuitaki? hamtaki mwenyekiti atendewe haki makamanda? kwa nini mnaibua hoja zisizo maana kuzika hoja ya kuvamiwa na kushambuliwa mwenyekiti kitu kisicho kawaida yenu!???Mungu ibariki Chadema
Mie sigombei hata ujumbe wa nyumba kumiWewe tofauti na nguo unazovaa tu nani mwingine anaweza kukuamini ?
Kabla ujauliza ilo jpe muda wa kufikiria la lisu liliishia wap, then tuongea kwa lugha moja apaHivi agenda ya kuvamiwa na kushambuliwa kwa Mbowe imeishia wapi? mbona hamuitaki? hamtaki mwenyekiti atendewe haki makamanda? kwa nini mnaibua hoja zisizo maana kuzika hoja ya kuvamiwa na kushambuliwa mwenyekiti kitu kisicho kawaida yenu!???
Mlevi akianguka na kuteguka mguu mnabaki eti kavamiwa, duh.Ccm imeua elimu na passion ya kusoma. Mmebaki na yesu wenu wa Chato. Hata akijamba mnampigia makofi
Ok.Sio lazima usome kila kitu..
La Lissu halijawahi kuisha na kila leo mfano hapo tiari ushalizungumzia, la mwenyekiti hata kwenye mifano kama hivyo saizi halipo, hatumtendei haki mwenyekiti bado ni mapema sana jamani.Kabla ujauliza ilo jpe muda wa kufikiria la lisu liliishia wap, then tuongea kwa lugha moja apa