Hotuba ya Mheshimiwa Tundu Lissu

Atambue tu kuwa pamoja na sheria na kila kitu ila dunia ina kanuni zake ndio maana hata mkulima aliweza kuizuia ndege ya mabilioni.
 
Kwa mhusika yeyote anayesikia maneno haya na nafsi yake ikabaki haimsuti, binaadam huyo atakuwa ni shetani asiyestahili kuliongoza taifa letu.
 
Kwa aliyopitia na anayopitia,inasikitisha sana,dunia ina mengi sana.
Na bora hata ndege ilivyozuiliwa SA walau ilikuwa inampa faraja. Sasa ndege yenyewe imeachiwa ndio amezidi kunyong'onyea tundu wetu.
 
LISSU wewe ni NABII, Tanganyika inakutegemea, asante MUNGU kwa uponyanyi ulio TUKUKA.
 
Kweli huyu jamaa ameshawachosha makamanda. Yaani saa saba zimepita uzi haujavuka kurasa ya pili? Aisee.
 
Hakika Mungu ni mwema sana amekuponya wazarimu wamebaki kushangaa hakika wasiojulikana Wamepagawa
 
Lissu aliahidi kumuoa huyo Lumumba (Eltwege) baadae akapata chombo kikali kuliko yeye so,jamaa roho inamuuma sana kwa kufanywa mchepuko!
 
So touching ! Hakika haipaswi kuwa siri ratiba kurejea nyumbani, vizuri ataambatana na vyombo habari shield muhimu pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…