Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyoitoa jana Aprili 11, 2021

nimeamini hata wajinga wanazeeka
 
Acha mihemko kijana
 
Well jamaa alikua anapiga kazi;

Binafsi naamini katika kufanya kazi,

Kazi pekee ndio humpa mtu heshima katika jamii na ni njia pekee ya kumpa mtu kipato.
 
Nyie mnaopinga hotuba ya Mh. Mbowe jaribuni kupinga kwa hoja.
Sio mnakuja na maneno kama..
"Mbowe ni yuleyule"
"Hotuba ya kawaida tu hiyo"
"Habadiliki ni yuleyule"
Na vimaneno vya kejeli tu hebu jaribuni kuipinga kwa hoja. Hivyo vimaneno vya vijiweni, instagram na facebook sio kwa great thinkers(JF).
 
DJ ktk ubora wake na chanjo ya COVID 19, ASTRAZENECA
 
Alichosema mbowe nawewe umerudia mmejenga nanani sema umejenga mkuu
Wengi wamejenga naamini kuwa hata kama wewe haujajenga ndani ya miaka 5 yupo mtu kwenye Family yenu Au kwenye Ukoo wenu Kajenga.
 
Brother Mbowe kama wengi wanavyokuita huko Hai nimekufuatilia kwa makini katika hoja zako na hotuba yako kwa ujumla kuna mambo ya msingi lakini pia kuna mambo yasiyonamsingi .Baada ya hotuba yako hiyo,naomba nikushauri mambo yafuatayo:

1.Fanya unaloweza kuanzisha TV ya chama.

2.Kususia uchaguzi hakutoshi orodhesheni visa vyote vilivyokiuka haki za binadamu na pelekeni mashitaka mahakaman maana wengine waliovitenda wapo.

3.Itisheni watu wote walioathiriwa na Magufuli kwa njia yoyote ile waàndamane hadi kwa Mama.
 
Brother Mbowe kama wengi wanavyokuita huko Hai nimekufuatilia kwa makini katika hoja zako na hotuba yako kwa ujumla kuna mambo ya msingi lakini pia kuna mambo yasiyonamsingi .Baada ya hotuba yako hiyo,naomba nikushauri mambo yafuatayo...
Yasiyo ya msingi yaweza kuwa yale ya s.sudani janjaweed
 
Aisee umenfuraisha sana Leo,

Eti kama alikosea basi alikosea kama binadamu mwingine,kuua,kuteka eti hayo ni makosa ya kawaida ya kibinadamu?.

Damu za hao jamaa zilimlilia.
 
Kumbe vyote ni zao la mwendazake! Ajabu!
 
Mimi CCM damu damu. Nakiri kuwa Mbowe ni kiongozi na mfano wake hatuna ndani ya chama chetu.

Very smart and full of wisdom, yaani kaacha wenye PhD zao ndani ya chama chetu
 
Aisee umenfuraisha sana Leo,

Eti kama alikosea basi alikosea kama binadamu mwingine,kuua,kuteka eti hayo ni makosa ya kawaida ya kibinadamu?.

Damu za hao jamaa zilimlilia.
Huyu kaweka na namba aonekane....anafikiri zama ni zile za mapambio na sifa
 
Kama si ujinga ndio tuuite sijui nini yaani hii ndio mpambe alisema itatikisa nchi hapa naona ni ubinafsi tu na kama kawaida ya wale majizi leo ndio wanaibuka kumsema marehemu,niwaambie tu hizo porojo na propanganda zenu KAMWE hazitafuta legacy ya JPM ile nyomi lazima inawasumbua sana,ningewaona mashujaa au watu wa maana kama haya mungeyasema wakati marejemu yupo hai,kusema wakati hakuna wa kumjibia huo ndio tunaita ulumakenge, naona mumejipanga vizuri kutaka kumchafua mwendazake, na kuwasikifia hao hao waliokuwa na mwendazake,unasifia kitimoto unalaani nguruwe.
 
kasumbuliwa na sabaya mkuu wa wilaya na tatizo kubwa kukosa ubunge hana lolote huyu
 
Mbowe hana lolote ni fisadi kama mafisadi wengine

Ametafuna pesa za ruzuku za chadema miaka yote mitano akashindwa hata kujenga chama matokeo yake chama kimekufa

Pia laana aliyoachiwa na DK slaa bado inamtafuna
 
Umesema kweli na tumekuelewa shujaa wetu. Kweli kazi iliyoko mbele yetu ya kudai katiba mpya ni ngumu na pevu. Tunakuhakikishia mchango wetu wa hali na mali kufanikisha azma hii. Eee, Mungu Baba tunakuomba usimamie harakati hizi hadi mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…