Hotuba ya mwisho aliyoindika Muammar Gaddafi

Hivi mnavyosema aliandika mwishoni alijua atauawa au kufa kwa namna aliyokufa au!?
Nachofahamu alitamka maneno haya Hali ya Tripoli ilikuwa mbaya Zilikuwa nyakati ambazo alianza kukata tamaa huku baadhi wakimshauri aikimbie Libya lakini alikataa
 
Kumbe Gaddafi alikuwa untouchable!
 
Sikuwahi kulifaham hili!
 
Tz iliamka tu one day na kuamua kua leo tunaivamia Uganda?
 
Nachofahamu alitamka maneno haya Hali ya Tripoli ilikuwa mbaya Zilikuwa nyakati ambazo alianza kukata tamaa huku baadhi wakimshauri aikimbie Libya lakini alikataa
Alikamatwa akiwa anajaribu kutoroka
 
Ko unataka ugali na beans za kuoza [emoji23][emoji23].Mkuu wa African tuna shida sana.Gadafi alikuwa analazimika kuua watu kwa mapenz ya watu wake,lazima afanye ivo kwa waliotaka kuiyumbisha nchi mapema.The same applied to JKN in Tz.sema alijisahau akusoma alama za nyakati angewaachia watawala wengine kama JkN.Wananchi wakikuchoka ni shida ata kama kila kitu ni free.ko mabeberu wakatia neno kidogo tu "right and freedom in Libya.wananchi wakaunga mkono ndo wanavuna walichokipanda no chill in libya
 
Mbona mnaishia nusu kutoa maelezo? Baada ya Gaddafi kuondoka hali ikoje huko?
 
Nimeisoma nikafurahi mno. Hili liwe fundisho kwa wanaotamani kumuiga kuwa Miafrika ndivyo tulivyo (In Nyani ngabu's voice). Hata uwape wali kwa panzi. Hawana jema kwao. Full Stop.
Nnani kakuambia kuwa tunahitaji hayo makitu chini ya ukandamizi?
haturidhiki sijui kwanini!!!
 
Wanachoangakia Mabeberu kwa mara ya kwanza ni kwamba baada ya kuhitimisha azma yao,Je nchi ina kipi kikubwa cha kuwaneemesha???

Basi...Na Libya mafuta yapo ya kutosha.
Pia waliona mzee Gaddafi ndoto yake ya kuwaunganisha Waafrika. Na mengine chungu nzima

Kama wanachukia watu kukaa madarakani muda mrefu wakavamie Uganda
 
Kuna tofauti kati ya malkia na rais wa nchi yule yupo kama pambo na mshauri hana nguvu kivile kwenye swala la mamlaka
Russia case fuatilia saivi warusi wanafanya maandamano urusi wananchi wanamaisha magumu af serikali ina hela zote not all russian are happy with Putin
 
We unapata habari zako toka wapi mkuu tuanzie hapo
 
Kwaiyo hata huyu sseseko leo anatetewa alikua mtu mzuri
Daa [emoji23][emoji23]
 
Mtu akijua hii kitu hawezi kua kinganganizi wa madaraka we were created to be free not to be dominated[emoji106]
 
Hebu tumia akili kidogo. Hivi hata ingekuwa ni wewe unapata vitu vyoye hivyp kutoka kwa kiongozi aliyepo madarakani ungetamani aondoke?
Hiyo siyo sababu na wala haipo kwenye sababu za msingi. Libya ni yana walibya na siyo mali ya mtu mmoja. Kwahiyo alitaka aongoze yeye tu? Na siku akifa, mtamfufua ili aendelee kuongoza nchini? Ghadafi alikuwa kiongozi mbinafsi sana na tena nafikiri kauua wengi kulinda madaraka yake. Kiongozi bora ni yule ambaye anaweka mipango ya nchi yake kujisimamia yenyewe hata kama akiondoa. Wanaoyopitia sasa wanalibya ni kwasababu ya tamaa na uchu wa madaraka wa Ghadafi.
HATA UKIFUNGWA GEREZANI UKAPEWA KILA KITU UNACHOTAKA ILA IPO SIKU UTATAMANI KUWA HURU. BADO UNAROHO YA KIMASKINI. KUPEWA KILA KITU SIYO SABABU
 
Sasa hayupo hao walibya wanapata nini? Mbona hawaweki kiongozi mwingine wakaendelea na maisha
Ulitaka awapo madarakani mpaka sasa? Hizo za Ghadafi kuwapa kila kitu watu ni story za kufikirika. Mtu mwenye akili timamu lazima aone ni stori za kupika. Kwahiyo wanalibya walikuwa hawafanyi kazi? Hii ya kusema Ghadafi alikuwa anawapa kila wananchi wake ni stori za kupika 100 na hazina uhalisia wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…