mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Nachofahamu alitamka maneno haya Hali ya Tripoli ilikuwa mbaya Zilikuwa nyakati ambazo alianza kukata tamaa huku baadhi wakimshauri aikimbie Libya lakini alikataaHivi mnavyosema aliandika mwishoni alijua atauawa au kufa kwa namna aliyokufa au!?