Hotuba ya Rais Magufuli yawa "Lulu" duniani kote, Wachina na Wahindi wataka itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao

Habari bila picha ni sawa na polojo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kama unaamini ulichoandika hapa ni ukweli basi naomba urudie maneno haya na kwa herufi kubwa kama nilivyoandika:

NILICHOKIANDIKA NI UKWELI MTUPU NA KAMA NI UONGO BASI NILIEMSIFIA AFYEKWE NA CORONA.
 
Kweli we oil ya magari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba hii iwe kwenye front page ya magazeti ya musiba ya usalama wa taifa
 
Bwashee, umekunywa bia ya ngapi hii leo? Ongezea na bapa la K-Vant utie akili zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo umeota, umeambiwa, umesoma mahali au umesimliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo apa Moscow wananchi wananunua CD za hiyo hotuba kwa shilingi elfu 50000 pesa za kitanzania.
Ila nasikia ata USA wapo wanaitasfiri ili Trump akaongee maneno ayo ayo.
 
Nipo apa Moscow wananchi wananunua CD za hiyo hotuba kwa shilingi elfu 50000 pesa za kitanzania.
Ila nasikia ata USA wapo wanaitasfiri ili Trump akaongee maneno ayo ayo.
 
Kwaiyo jiwe anataka kutuaminisha nini alafu anaongea hayo yote akiwa kajificha mafichoni sisi tumweleweje. Tuache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…