Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nilikuwa shamba tangu asubuhi.Hii ya kupima mapapai
Hata sisi inabidi tuwaenzi sangoma wa Madagascar kuliko wataalamu wetu.Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.
Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.
Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.
Maendeleo hayana vyama!
Sarah Banks baraaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwenzenu hapa namwangalia Sarah Banks na Cherokee, kuliko hayo mambo yenu. Aibu gani hii!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Corona ni ugonjwa hatari sana kwenye mitandao ya kijamii... Unatisha sana mtandaoni hasa JF,FB,INSTA. Na according to mange kimambi korona inaua maelfu kwa maelfu dar... Watu wanaokotwa mitaroni. Ila ukiwa dar... Hakuna jirani anaomboleza msiba, wala hakuna hata maiti ya kenge mtaroni
Sent using Jamii Forums mobile app
Uelewa wako inaonekana una walakini, yeye kafanya hivyo sio kuonyesha kwamba papai lina corona lakini kuangaliaTanzania tunazidi kuonekana kichwa cha mwendawazimu, kufanyia test mapapai yakakutwa positive kuna athari kubwa mbele ya safari.
Wengi wataugulia majumbani wakiamini Corona ni ugonjwa wa kawaida, wataambukiza wengi zaidi, na watakufa wengi pia.
Nchi zote duniani zinakabiliana na hili janga scientifically, nchi zote zimepoteza watu wake, but sisi bado hatujawa tayari kukubaliana na huu ukweli, kila siku tunadanganyana kwa kutafuta sababu nyepesi kulazimisha Corona ionekane sio tatizo, ulimwengu wote lazima utushangae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mjinga number moja ni wewe usielewa maana.Hosea4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako. Nimetafakari naona hiii nchi inatawaliwa na wahamiaji au watu wajinga na wananchi wajinga
na wewe umeiamini? 😂😂😂Habari mbaya kabisa kwa chadema hii
Mad President. Daniel alimezwa na samaki teh teh teh, fumigation inaua viroboto vya mbu tu teh teh teh. Tukifunga mipaka ambulance zitapita wapi teh teh teh!Magufuli ni Rais. Bora Duniani
Ajabu wanata lockdown kwa Dar tu Zanzibar hawaizungumziizimelalamika. Namuunga Raisi wangu mkono%. Serkali ipo macho usiku na mchana, huduma mahospitalini na kila mahali zinapatikana. Sasa sijui hao wanaotaka lockdown Wana shida gani haswa kwenye bongo zao. TUFATE taratibu za kujikinga na huu ugonjwa na tumuunge mkono Mh. Raisi wetu.![]()
Utafiti wa kuwafanyia mbuzi na mapapai? na wewe kweli hazikutoshi kama mwenzio. Wahindi na Wachina walikuomba wewe?Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.
Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.
Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa tupo kwenye hali halisi ya kipimo Cha uongozi wake ... He is playing game of chanceHaya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.
Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.
Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.
Maendeleo hayana vyama!
Yaani huu utumbo aliyoufanya Jiwe wa kupima mapapai kwenye kipimo kinachompima binadamu afu akategemea kupata majibu sahihi?Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.