Hotuba ya Rais Magufuli yawa "Lulu" duniani kote, Wachina na Wahindi wataka itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao

Kweli ujinga mzigo, wewe umewezaje kujua kihindi mpaka ukajua wanaomba watafasiriwe kwa kihindi? Kwahiyo umepigiwa simu au hao Wahindi walikuja nyumbani kwako kukuomba utafasiri hiyo hotuba? Yani unaandika kama unamsimulia mkeo kibalazani. Weka source hapo!!
 
Muhimu tuongeze maabari nyingi kila mikoa ili tupate majibu sahihi.
 
Waabudu mwenge uabudu kila waambiwalo
 
Mpaka uambiwe na nchi za magharibi kuwa hata miti ya ashock ina corona ndio utaamini.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Naunga mkono hoja tutafisiri kwa lugha zote za mabeberu.
 
Duh! Hii kama si Lumumba, basi watanzania tumekwisha! Kupima mapapai na mafenesi na kuyakuta na korona kunaifanya hotuba kuwa lulu? Nilidhani Tanzania tunao wanasayansi wa kusaidia hapa. Shame on us!
 
watu wengi hawatak kutuliza ubongo hata sec 60 kumwelewa rais, ushabiki umedumaza akili. hajasema corona haipo ndo mana anahimiza tujikinge. hoja muhim ni kwanin sample zisizo za watu zimetoa matokeo yasiyotarajiwa kama positive na negative! ndo hapo inaanzia taadhar ya vifaa na utaalam na wataalam. njia alotumia kujenga walakin ni ya kawaida sana tu. ukikataa hili upimwe akili. manake huamin kuwa mabeberu wengine wako kibiashara. tujikumbushe condom milion 2 zilizokamatwa bandarin zina tayar virus vya ukimwi. bas tu mi nalaum dini za kuletewa kila tukipatwa na majanga tunajisemea ni mapenz ya Mungu tu! tunasahau sisi tunajua fitina changa hasa za kisiasa na ndoa, wao wanafanya fitina zilizokomaa za kiuchumi
 
Nipo apa Moscow wananchi wananunua CD za hiyo hotuba kwa shilingi elfu 50000 pesa za kitanzania.
Ila nasikia ata USA wapo wanaitasfiri ili Trump akaongee maneno ayo ayo.
Moscow ya kinondoni?
 
FYI huu ugonjwa upo na unajulikana tangu 1966 bali ulikuwa bado kumwandama mwanadamu angalia facts zako kabla ya kubwabwaja.
 
Hapo kwenye red,
sio "nchi zote" sema "nchi nyingi".
Kuna baadhi ya nchi (sikumbuki idadi nadhani ni nchi 6) hazijaripoti maambukizi yoyote hadi leo
 
Kuna zile net za kutukinga dhidi ya Malaria ziligeuka kuwa nyavu za kuzuia kuzuia bustani zetu za mboga zisiharibiwe na kuku.
 
Umeshapanic bwashee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…