Hotuba ya Rais Samia ni Nyota njema iliyoonekana ahsubuhi!

Drama won't end, create a problem, solve it. Call yourself master
 
Hakuna maridhiano yoyote na wauaji ,maridhiano muda wake ulikua ni March 2021 hadi October 2025 ni miaka 4 na ilitosha kabisa ila ulafi wa madaraka ndio ulitangulizwa mbele.

Kwa sasa msubiri hukumu kutoka kwa wananchi au mahakama ya kimataifa ya uhalifu.
 
Una mavi kichwani wewe. Umemskia akisema lolote kuhusu hao waliotekeleza mauaji? Dkt Chawa kweli
 
Elimu ya Tanzania imekuja kuwaje?
Dr mzima unakuwa chawa kweli? Au ndo elimu za hapa na pale?? Rubbish
 
Alishasema waliokufa siowatanzania ni watu toka nje sasa anasikitika Nini? Hotuba takataka hii. Watu wamekufa na kutupwa kusikojulikana, tunatafuta ndugu zetu hatuwaoni.
 
Huu ujinga wa maridhiano nitaawadharau sana wapinzani wa kweli kama wataingia huu mtego. Kwa sasa kumekuwa na mtindo wa vyama tawala kukaa madarakani kwa shuruti kupitia umwagaji wa damu, wizi wa kura na uchafu wa aina hiyo, kisha inatumika hadaa ya maridhiano ili kupoza joto. Ikifika wakati wa uchaguzi wanafanya ukatili na wizi tena kisha yanaitishwa maridhiano hewa. Wapinzani wa kweli wakwepe uhuni huu.

Nakumbuka alipoingia Samia baada ya kiongozi dhalimi, alikuja na hadaa ya maridhiano, yeye na chama chake walipotakiwa wasini hayo maridhiano kwa maandishi wakagoma. Ni machafuko pekee yataleta mabadiliko ya kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…