Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan yaizindua Manispaa ya Moshi suala la usafi soma Tangazo lao

Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan yaizindua Manispaa ya Moshi suala la usafi soma Tangazo lao

Ndagullachrles

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2023
Posts
256
Reaction score
259
Manispaa ya moshi yazinduka suala la usafi lakini bado sana hasa hapo mbuyuni wachuuzi wametoa bidhaa zao ndani na kuhamishia nje

Barabara kutoka Cape Town kushuka mashine kwa gogo imeziba,kusho Bajaj,kulia wachuuzi

Kwenye njia za watembea kwa miguu kuanzia NMB,CRDB kumezibwa na wachuuzi watu wa mipango miji wamekaa ofisini kunani

Tunasubiria Rais akemee suala la usafi ndiyo tunazinduka,hii ni aibu sana

IMG-20260907-WA0338.jpg
 
Back
Top Bottom