Ndagullachrles JF-Expert Member Joined Jun 20, 2023 Posts 256 Reaction score 259 Sep 8, 2026 #1 Manispaa ya moshi yazinduka suala la usafi lakini bado sana hasa hapo mbuyuni wachuuzi wametoa bidhaa zao ndani na kuhamishia nje Barabara kutoka Cape Town kushuka mashine kwa gogo imeziba,kusho Bajaj,kulia wachuuzi Kwenye njia za watembea kwa miguu kuanzia NMB,CRDB kumezibwa na wachuuzi watu wa mipango miji wamekaa ofisini kunani Tunasubiria Rais akemee suala la usafi ndiyo tunazinduka,hii ni aibu sana
Manispaa ya moshi yazinduka suala la usafi lakini bado sana hasa hapo mbuyuni wachuuzi wametoa bidhaa zao ndani na kuhamishia nje Barabara kutoka Cape Town kushuka mashine kwa gogo imeziba,kusho Bajaj,kulia wachuuzi Kwenye njia za watembea kwa miguu kuanzia NMB,CRDB kumezibwa na wachuuzi watu wa mipango miji wamekaa ofisini kunani Tunasubiria Rais akemee suala la usafi ndiyo tunazinduka,hii ni aibu sana