Hotuba ya rais Uhuru G7 imekita kwenye kuonyesha kwamba Afrika kumekucha

Speech imetulia. Baada ya tanotena karibu Tanzania kugombea Urais kwa tiketi ya CCM. We need your wisdom and leadership.
 
Unajua kuna kadem kanaitwa mange kimambi hawezi kuongea hio matope yote kama ako tz ama katadissapear kama nay wa mitego
 
Speech nzuri kwa kweli. Amezungumzia Africa as a whole na kenya kwa undani Zaidi. Siyo kwenye utalii tu, amechange narrative kuwa tupo ready kushindana kwenye sectors nyingine.
Good one Uhuru, I can't hate on that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…