Zanzibar 2020 Hotuba ya Seif imenitoa chozi, nashauri Rais Magufuli, Mwinyi na Maalim Seif wakutane wagonge glass kidogo

Zanzibar 2020 Hotuba ya Seif imenitoa chozi, nashauri Rais Magufuli, Mwinyi na Maalim Seif wakutane wagonge glass kidogo

Kwanza huu ni mfano mmoja tu. Kuna mambo mengi ya kibaguzi yameendelea na wabaguzi wakiwa watendaji wa serikali ya SMZ zilizopita. Ilibidi vijana wengi wanunue kadi za CCM ili kuweza kupata miradi yao ya kimaisha. Kwa mfano hata elimu ya juu, ili upate nafasi ilikubidi ujionyeshe kama wewe ni CCM au ufahamiane na kiongozi fulani. Hivyo hivyo kwenye ajira yoyote serikalini. Watu wengi walifeki kuwa wana CCM kufanikisha mambo yao. Na hata wafanya biashara... We unafikiria wafanya biashara waarabu na wahindi ni CCM kweli?
Sasa hapo shida iko wapi? Mbona huku bara mtu unaweza kuweka maisha yako mkoa wa Mwanza lakini ukapangiwa kazi mbeya ndani ndani huko, je huo ni ubaguzi?
 
Back
Top Bottom