johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jambo TV ๐ผAtaunguruma kupitia redio gani mkuu?
Watasema kaenda ku-draw pesa ya mama abdul!Juzikati nimekutana naye Dubai ๐ผ๐
Mwenyekiti wetu aliyepinduliwa na wahuni lazima tujue alipo......!Ili iweje?
karibu ugali gentleman,Tlaatlaah kaa chonjoo na mkulima wako mwamba anahotubia huko๐
Niache kazi zangu eti nasubiria upuuzi wa huyo kibaraka wenu?Tlaatlaah MamaSamia2025 ChoiceVariable na chawa wengine wajiandae kwa cheche kitoka kwa Tundu Antipas Mugway.
Kama mlizompa Wenje akaka kona anakula anasa USA.Watasema kaenda ku-draw pesa ya mama abdul!
HatersNiache kazi zangu eti nasubiria upuuzi wa huyo kibaraka wenu?
Mda wa burudani ndio nitakuja kuwajibi ,akiongea tuu mni tag
Wewe unaishi sayari gani??๐คฃ๐คฃ๐ค๐คฃ๐ค๐คฃAnahutubia taifa gani? ๐ผ
Huwa nafurahi sana ninapokutana na hoja kama hizi, ongeza juhudiLisu keshasema hataki CHAWA sasa ulizoea kutoa taarifa za Mbowe kichawachawa, unaanza kujiimbisha vijipambio pambio kwa Lisu. Baki na Mbowe wako umsaidie kulea wajuu
Hata mimi nimeshangaa sana! Inakuwaje watu waache kazi kumuwahi LissuNiache kazi zangu eti nasubiria upuuzi wa huyo kibaraka wenu?
Mda wa burudani ndio nitakuja kuwajibi ,akiongea tuu mni tag
Taifa lenu wanywa Whisky huku mkiwa na kihoro.Anahutubia taifa gani? ๐ผ
Ana export kitimoto ๐Watasema kaenda ku-draw pesa ya mama abdul!
Asante kwa ugalikaribu ugali gentleman,
inasemekana ati atarusha cheche? wakati mie ni moto, nimedharau sana hali hiyo,
but,
hata na hivyo,
as professional young and visionary politician siwezi kupuuzia nitafuatilia kwa karibu kama ni hotuba au malalamiko, na ili nipate nafasi nzuri kujibu upotishaji wowote ule ambao atajaribu kuwahadaa wadau wa JF na waTanzania kwa ujumla.
anahutubia kutoka ubeligiji kwa mabwenyenye yanayombackup au?๐
Kina nani wamemuwahi Lisu?Hata mimi nimeshangaa sana! Inakuwaje watu waache kazi kumuwahi Lissu
yaani mnajipa matyumaini ya vitu visivyowezekwnw huyo lissu kitu gania ataongea cha maana mpaka nchi imsikilize yeye yaani hapo mapopoma tu ndiyo yako busy kusubiri kumsikilizaKwa mara ya Kwanza tangu Uhuru wa Tanganyika, Nimeshuhudia watu wengi wakihangaika huku na kule ili kukamilisha kazi zao mapema kwa lengo la kuwahi Hotuba ya kiongozi wa Upinzani.
Maofisi ya Serikali ndio yanayoongoza kuhangaika huku baadhi ya Wafanyakazi wakipanga kutoroka ili kuwahi Hotuba hiyo inayotajwa kutoa Mwongozo na Dira ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania.
Pamoja na Msisimko huo lakini lipo kundi dogo miongoni mwa Wananchi lililojawa hofu na wasiwasi kuhusiana na kitakachozungumzwa, Uchunguzi wetu umebaini kwamba kundi hilo dogo ni pamoja na familia za viongozi wakiwemo na Mashemeji zao walioko mkabala na Chawa wao, Bali haijajulikana hofu yao hiyo inatokana na nini.
Ngoja Tusubiri saa 10 jioni kwa saa za Nchini Tanzania.
Hawa kina Tlaatlaah . Wewe utakuwa wapi๐๐๐Kina nani wamemuwahi Lisu?
Mmoja tayari.yaani mnajipa matyumaini ya vitu visivyowezekwnw huyo lissu kitu gania ataongea cha maana mpaka nchi imsikilize yeye yaani hapo mapopoma tu ndiyo yako busy kusubiri kumsikiliza
KasafiriYu wapi Mbowe......!
Chawa Pro max naona wapo viti vya mbele๐Kasafiri