Hotuba ya Tundu Lissu kwa Taifa yasubiriwa kwa hamu kubwa na Wananchi, Matumaini yatawala, Wachache waingiwa hofu

Hotuba ya Tundu Lissu kwa Taifa yasubiriwa kwa hamu kubwa na Wananchi, Matumaini yatawala, Wachache waingiwa hofu

Tlaatlaah kaa chonjoo na mkulima wako mwamba anahotubia huko😆
karibu ugali gentleman,

inasemekana ati atarusha cheche? wakati mie ni moto, nimedharau sana hali hiyo,

but,
hata na hivyo,
as professional young and visionary politician siwezi kupuuzia nitafuatilia kwa karibu kama ni hotuba au malalamiko, na ili nipate nafasi nzuri kujibu upotishaji wowote ule ambao atajaribu kuwahadaa wadau wa JF na waTanzania kwa ujumla.

anahutubia kutoka ubeligiji kwa mabwenyenye yanayombackup au?🐒
 
Lisu keshasema hataki CHAWA sasa ulizoea kutoa taarifa za Mbowe kichawachawa, unaanza kujiimbisha vijipambio pambio kwa Lisu. Baki na Mbowe wako umsaidie kulea wajuu
Huwa nafurahi sana ninapokutana na hoja kama hizi, ongeza juhudi
 
karibu ugali gentleman,

inasemekana ati atarusha cheche? wakati mie ni moto, nimedharau sana hali hiyo,

but,
hata na hivyo,
as professional young and visionary politician siwezi kupuuzia nitafuatilia kwa karibu kama ni hotuba au malalamiko, na ili nipate nafasi nzuri kujibu upotishaji wowote ule ambao atajaribu kuwahadaa wadau wa JF na waTanzania kwa ujumla.

anahutubia kutoka ubeligiji kwa mabwenyenye yanayombackup au?🐒
Asante kwa ugali
 
Kwa mara ya Kwanza tangu Uhuru wa Tanganyika, Nimeshuhudia watu wengi wakihangaika huku na kule ili kukamilisha kazi zao mapema kwa lengo la kuwahi Hotuba ya kiongozi wa Upinzani.

Maofisi ya Serikali ndio yanayoongoza kuhangaika huku baadhi ya Wafanyakazi wakipanga kutoroka ili kuwahi Hotuba hiyo inayotajwa kutoa Mwongozo na Dira ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania.

Pamoja na Msisimko huo lakini lipo kundi dogo miongoni mwa Wananchi lililojawa hofu na wasiwasi kuhusiana na kitakachozungumzwa, Uchunguzi wetu umebaini kwamba kundi hilo dogo ni pamoja na familia za viongozi wakiwemo na Mashemeji zao walioko mkabala na Chawa wao, Bali haijajulikana hofu yao hiyo inatokana na nini.

Ngoja Tusubiri saa 10 jioni kwa saa za Nchini Tanzania.
yaani mnajipa matyumaini ya vitu visivyowezekwnw huyo lissu kitu gania ataongea cha maana mpaka nchi imsikilize yeye yaani hapo mapopoma tu ndiyo yako busy kusubiri kumsikiliza
 
Back
Top Bottom