Umsikilize una akili za kumuelewa wakati akili zote umezikabidhi Lumumba umebaki na kichwa tupu mkuu?Niache kazi zangu eti nasubiria upuuzi wa huyo kibaraka wenu?
Mda wa burudani ndio nitakuja kuwajibi ,akiongea tuu mni tag
Watafanywa vibaya haoooo ....( kwa sauti ya semaji la simba๐ ๐Wanajifanya wanamkubali Mbowe balaa
Si kuwashwa washwanhuko
TumekusikiaMkuu Erythrocyte msichelewesha vijana wengi wanahangaika kutafanya Chadema online registration....
Vijana wameshaamua wanasubiri tu maelekezo ya viongozi.
Dah ugali wa mhogo na sato hapo brake pointmoto hauwezi kubabaika wala kuogopa cheche gentleman,
mwenye hamu na cheche ni wew na mtoa hoja pekee ,
karibu ugali sato wa wa dar gentleman ๐
Sina ndio maana siwezi poteza mda wangu Kwa maneno ya mtu yasiyo na faidaUmsikilize una akili za kumuelewa wakati akili zote umezikabidhi Lumumba umebaki na kichwa tupu mkuu?
Miaka yako zidisha mara 2 halafu ongeza 4Una umri gani?
Wasafi MediaKwa mara ya Kwanza tangu Uhuru wa Tanganyika, Nimeshuhudia watu wengi wakihangaika huku na kule ili kukamilisha kazi zao mapema kwa lengo la kuwahi Hotuba ya kiongozi wa Upinzani.
Maofisi ya Serikali ndio yanayoongoza kuhangaika huku baadhi ya Wafanyakazi wakipanga kutoroka ili kuwahi Hotuba hiyo inayotajwa kutoa Mwongozo na Dira ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania.
Pamoja na Msisimko huo lakini lipo kundi dogo miongoni mwa Wananchi lililojawa hofu na wasiwasi kuhusiana na kitakachozungumzwa, Uchunguzi wetu umebaini kwamba kundi hilo dogo ni pamoja na familia za viongozi wakiwemo na Mashemeji zao walioko mkabala na Chawa wao, Bali haijajulikana hofu yao hiyo inatokana na nini.
Ngoja Tusubiri saa 10 jioni kwa saa za Nchini Tanzania.
View attachment 3234482
HatersTaifa haliwezi kuhutubiwa na muhuni
Juzi kati ulikuwa Kunjombe.Juzikati nimekutana naye Dubai ๐ผ๐
Hizo kwenu ndio mnaita tv?Wasafi Media
Kusaga tv
Jambo tv
MilardAyo
Chadema Media
Habari media
Mwanzo tv plus
Msomi News
The Chanzo
Mwanahalisi
VOT media
Wkili Tv
Icon Tv
Na wengine wengi wako Live kwa maelfu ya watazamaji.
HatersHizo kwenu ndio mnaita tv?
Poleni
Hivyo vi youtube ndio.mnaita tv
Dunia ni Kijiji ๐Juzi kati ulikuwa Kunjombe.
Kajifungie chumbaniTaifa haliwezi kuhutubiwa na muhuni
Pole sanaTaifa haliwezi kuhutubiwa na muhuni