Hotuba ya Tundu Lisu ni nzuri sana ila wamekosea timing. Alipaswa aanze na nini CHADEMA inatamani kuifanyia nchi hii ikishinda Uchaguzi!

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,856
Reaction score
2,417
Kwa Aina ya wananchi TULIONAYO watanzania wenzetu inahitajika mikakati na mbinu Kali mno ili wakuunge mkono

Moja Kwa hutuba ya kwanza ya mkiti ilipaswa aanze kuelezea maono ya Chadema ya Muda mrefu juu ya nchi yetu na matamanio yao kwa wananchi

Pili haikuwepo haja ya kuanza kuchumbua masuala ya upendeleo wa majimbo kwa Zanzibar kwa sababu imepeleka hisia hasi moja kwa moja kwa upande wa zanzibar. Hii wapinzani wao wanaweza kunitumia kuonyesha Chadema Ina Nia mbaya na muungan o

Tatu Hotuba ya kwanza ya mwenyekiti ilipaswa ijenge hoja ya UMOJA kuunganisha makundi yote NDANI na nje ya chama

Hayo ni maoni machache ,,
INGAwa bado wanayo nafasi ya kurekebisha bado ni mapema sana
 
..hukumsikia Lissu akiwatetea Wazanzibari waliodhulumiwa kwa kufutwa katika daftari la kupiga kura Pemba na Unguja ktk maeneo yenye wapinzani?

..kwenye hoja ya majimbo kugawiwa kiholela hukumsikia akisema hata huku Tanganyika kuna maeneo wamepewa majimbo mengi huku mengine wanakostahili wakipewa machache.

..Lissu anasema UKWELI bila kumuonea mtu. Hawezi kufumbia macho jambo la hovyo kwasababu ya Uzanzibari, au kwasababu ya Utanganyika.
 
Hiyo itakuwa wakati wa kampeni baada ya kutengeneza uwanja sawa wa ushindani wa kisiasa, kwa Tume hii, sheria na kanuni hizi na nia ovu ya CCM na serikali yake ni ndoto kuanza kufikiria kushinda uchaguzi wowote
 
Watashinda nini na lini wakati milango ya ushindi imefungwa?
Lengo nikuungwa mkono na wananchi kupambana na hiyo milango iliyofungwa,

So lazima uanze kuwaelezea nini watapata baada kushirikiana kufungua hiyo milango mkuu
 
Hiyo itakuwa wakati wa kampeni baada ya kutengeneza uwanja sawa wa ushindani wa kisiasa, kwa Tume hii, sheria na kanuni hizi na nia ovu ya CCM na serikali yake ni ndoto kuanza kufikiria kushinda uchaguzi wowote
Lengo la kwanza kutafuta uungwaji wa wananchi wengi kutafuta huo uwanja sawa
Maana wao ndo wenye maamuzi ya MWISHO

So lazima uwaeleze kwanini wakuunge mkono kupambana kusawazisha huo uwanja
 
..hukumsikia Lissu akiwatetea Wazanzibari waliodhulumiwa kwa kufutwa katika daftari la kupiga kura Pemba na Unguja ktk maeneo yenye wapinzani?

..kwenye hoja ya majimbo kugawiwa kiholela hukumsikia akisema hata huku Tanganyika kuna maeneo wamepewa majimbo mengi huku mengine wanakostahili wakipewa machache.

..Lissu anasema UKWELI bila kumuonea mtu. Hawezi kufumbia macho jambo la hovyo kwasababu ya Uzanzibari, au kwasababu ya Utanganyika.
Hotuba ni nzuri mkuu
Ila imekosewa Kimkakati na Timing na vipaumbele vya wananchi

Kitendo Cha kuanza kuelezea upendeleo wa Zanzibar dhidi ya dar Kama point namba moja ilipeleka hisia moja kwa moja kwa wananchi wazanzibar kwamba nini Cdm inafikira juu ya Muungano na Zanzibar
 
Moja ya hotuba mbovu kabisa kuwahi kuisikia.
Ilikuwa nzuri kuu ikiwa imebabe HISTORIA Murua ya nchi yetu kuhusu uchaguzi
Ila ilikosea Kimkakati katika vipaumbele vya chama juu wana
Hiyo itakuwa wakati wa kampeni baada ya kutengeneza uwanja sawa wa ushindani wa kisiasa, kwa Tume hii, sheria na kanuni hizi na nia ovu ya CCM na serikali yake ni ndoto kuanza kufikiria kushinda uchaguzi wowote
Wakati wa kampeni watakuwa wamechelewa Sana maana watakuwa hawana uungwaji mkono wa wananchi mkuu
 
Hotuba ni nzuri mkuu
Ila imekosewa Kimkakati na Timing na vipaumbele vya wananchi

Kitendo Cha kuanza kuelezea upendeleo wa Zanzibar dhidi ya dar Kama point namba moja ilipeleka hisia moja kwa moja kwa wananchi wazanzibar kwamba nini Cdm inafikira juu ya Muungano na Zanzibar

..Wazanzibari walio wengi hawautaki muungano.

..wewe huoni jinsi Ccm inavyohangaika na uchaguzi wa Zanzibar?

..Zanzibar sasa hivi focus yao iko katika kitu kinaitwa " kura ya siku mbili. "

..Jambo lingine linalowashughulisha Wazanzibari ni daftari la kupigia kura ambalo Lissu amewatetea.
 
Ili kupata uungwaji mkono wa wananchi lazima ujue matamanio yao
 
Masikini Tanzania bandari ya bagamoyo mafisadi waichukua
 
Attachments

  • 20250213_171101.jpg
    20250213_171101.jpg
    104.5 KB · Views: 2
..Wazanzibari walio wengi hawautaki muungano.

..wewe huoni jinsi Ccm inavyohangaika na uchaguzi wa Zanzibar?

..Zanzibar sasa hivi focus yao iko katika kitu kinaitwa " kura ya siku mbili. "

..Jambo lingine linalowashughulisha Wazanzibari ni daftari la kupigia kura ambalo Lissu amewatetea.
Muungano wetu una Changamoto nyingi sana mkuu na unahitaji muda mrefu sana kuzitatua
Haikuwepo haja ya Hotuba ya kwanza ya mkiti kuamsha hizo hisia za upendeleo wa Muungano kwa Sasa
Angelezea zile common agenda za wananchi wanazotamni kwenye maisha yao
 
Muungano wetu una Changamoto nyingi sana mkuu na unahitaji muda mrefu sana kuzitatua
Haikuwepo haja ya Hotuba ya kwanza ya mkiti kuamsha hizo hisia za upendeleo wa Muungano kwa Sasa
Angelezea zile common agenda za wananchi wanazotamni kwenye maisha yao

..Wazanzibari walio wengi hawautaki muungano.

..hivi umetumia muda kidogo kusikiliza wanachosema ACT Zanzibar kuhusu muungano?
 
Back
Top Bottom