Hotuba ya Zitto Kabwe Ujerumani

Mimi nilitegemea kusikia kutoka kwa kiongozi kijana kama huyo ambaye natumaini amazaliwa baada ya uhuru kuongea mambo yenye akili ...................

Kijakazi,

Umetumia uhuru wako wakikatiba na ''Slogan ya JF- Where we dare to talk openly'' kutoa kuikosoa hotuba ya Zitto.

Nakubali kuwa uwezao wa kupambanua mambo kwa sisi binadamu unatofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine, so inawezekana kwa mtazamo na uwezo wako Mh.Zitto hajaongea jipya lolote kny hotuba yake ambacho wewe kwa uelewa wako mkubwa alitakiwa aongelee.

Kilichonisikitisha kny kosoa yako (angalia quote hapo juu), unasema plainly tu eti...ulitegemea ''AONGEE MAMBO YENYE AKILI''....wakati huo huo hayo mambo yenye akili huyataji ni yapi ili tuweze kutofautisha ipi ni pumba na upi ni mchele. Post yako nzima umekosoa kwa bla blas tu hata bila kutaja ni vitu gani alitakiwa avizungumze.

Hii ni tabia ya ushabiki ambayo never haiwezi kujinga nchi yetu, kama tutakuwa tunakosoa bila kunyesha mbadala wa hicho tunachokipinga hatutakuwa tofauti na wehu na nchi hii itageuka kuwa ya VIJAKAZI!

Zitto- That was great stuff!
 
Dah Zitto wale wabaya wako wanaogopa hata kucomment hapo umewapiga bao la kisigino.
 

Hondohond,

Kumkosoa mtu ni muhimu sana ili kuleta maendeleo ya kweli kisiasa, kiuchumi etc. Lakini just kukosoa 'kimipasho'' hakuna mantic yeyote na katu hakuwezi kutufikisha mbali.

Hao Kijakazi na Nyuki....yes wanahaki ya kukosoa but not that plainly, walitakiwa waonyeshe mapungufu ya ile hotuba na waseme ni nini Mh. Zitto alitakiwa aseme badala yake!
 
Baada ya kusoma hiyo hotuba ingawaje imenichukua muda mrefu kuilewa kutokana na mapungufu ya Lugha kwa upande wangu, nimegundua kwamba mh Zito pamoja na watu walioichangia iyo hoja kuwa uwezo wake(o) wa kufikiri ni mdogo sana, nitaelezea kwa nini.

I conquer with you because this forum contains people with very different intellects, but advice not to utter words before you are really sure that you certainly have understood something!


My dear Kijakazi, Zitto should not worry you much, but you may just expect anything like being your President or the sort in 2015. You know why, he is under the guidance and protection of a few but very determined and intellligent people ! Gooday
 
Kudos Mhe. Zitto,
The delivered speech is clear and presents our very longstanding problems which need alternatives to curb them. Mhe. Zitto as my representative, indeed you've done the job which many of your voters are rubbing their heads to evaluate themselves what they can offered you. But the answer is simple, is to take you back in parliment so that you will be able to deal with the unfinished business.

Mhe. Zitto, you had hit the egg, We need German as a country to invest in our various opportunities which we have rather than what is doing now. If Germans would considered the speech, we expect to see the changes in their foreign policy towards Africa. WanaJF, let us move on, we need new ideas, ideas which come from to new leaders, let us forget the old ideas of Kigunge and other people like him, these figures need to stay away and leave new generation to take a lead.
 

Ndugu yangu kama unavyojiita inaelekea athari za UJAKAZI bado zinasumbua akili yako. Lakini pia kama ulivyosema wewe ni mtu mwenye akili na majivuno ni wazi wewe ndiye mwenye matatizo ya akili, usisubiri kuanza kuokota makopo ndio utambue hilo.

Lakini ni ajabu kuona mtu anajiona ana akili na majivuno anakimbilia kunyambua hotuba ambayo hata malengo, maudhui na hata mazingira yake huyajui na wala haukuchukua jitihada za kutaka kuzijua. Inaeleke ndio walewale walioenda shule lakini wameshindwa kuelimika.

Pia inaelekea huna ujuvi wowote wa masuala ya diplomasia na kutambua kuwa histori ya nchi mbili hata iwe mbaya kiasi gani ni nyenzo muhimu ya ushawishi kimataifa. Hata waisrael na maswahibu yote yaliyowakuta bado kila kukicha hukumbushia yale mauaji ya waisrael huko katika kujipatia maslahi yao.

Hivi watu huja kuleta misaada Serengeti na Kilimanjaro ama kuleta fursa za kibiashara. Sasa unaposema kuwa anaomba ndiyo manake nini. Ama umeshazoea kuwa kila kiongozi wako akifika huko anajua lugha ya kuomba tu ndio ukadhani ni wote.

Tukija kwenye malengo, maudhui na mazingira, kwa taarifa yako lengo halikuwa kuongea na wajerumani waliokuwepo mitaani bali ni viongozi wa juu wa serikali yao akiwemo Rais, Kansela na karibia nusu ya baraza la mawaziri wa ujerumani ambao wanajiandaa na kufanya marekebisho ya mfumo wao wa kusaidia na kufanya biashara na mataifa ya kiafrika haswa pale baada ya uchaguzi wao unaokuja hivi karibuni.

Pia kwa taarifa yako Zitto hakuombwa kwenda kutoa hotuba hiyo na kuchangia katika mjadala huo kama mwakilishi wa Tanzania, bali kama msemaji pekee kutoka Afrika katika program yote ya siku tatu ilyokuwa na title: The Federal Government Policy on Africa: Prospects After Elections. Na hotuba ilikuwa ni kichocheo tu cha mjadala ukifuatiwa na majadiliano makali ambayo viongozi wako uliowazoea wangeweza kukimbia hata kikao.

omarilyas
 
Last edited:
I like it, the degree of articulation and organization of ideas is superb.
 
ni kweli mkuu next level, ukiangalia jinsi kijakazi alivyosema, anaanza kwa kuponda wanajf na mh zitto, nilitegemea angesema yeye mwenye uelewa mpana angepata nafasi ile angesema nini kitu ambacho hakukifanya, ila kwa kuwa ni mtazamo wake ndio maana nikaheshimu mawazo yake, japokuwa yameweza kumuonesha uhalisia wake pamoja na uelewa wake.
 

This is NOT EVEN wrong.
 
Sina shaka na kijana Zitto, Unajua nyota ya mtu akianza kushine no any body anaweza kuizima, Uenda NDIYO Uraisi unaanza kumuita, Watanzania hawana shaka naye kamwe ni kipenzi cha watanzania siku zote

Tumuombee Mola ili ndoto zake zitimie.
 
akirudi aende toa application yake yakugombea kiti cha Chadema na amuachie the Dr. Zitto bado even yeye mwenyewe ame admit kwa kusema ya kwamba ni mpungufu katika international arena. Alafu unasema maneno hayo mbele ya international people waliokualika kwa mantiki uwasaidie na mawazo yako........jamani????????

kingine ni kwamba ameenda kuwapa facts, figures, na reasons ambazo wao wenyewe tayari wanazo tayari, lakini bado awaji kwa kasi ya uwekezaji. Alitakiwa aende kuwa convince na ku-sell our resources and give them reasons why they should come to us instead of other african nations or anywhere else they get those products, that why tanzania should be their patner. Hizi zote ni dalili za kutokomaa kisiasa ni wakati wa zitto kusema Dr. mi nadhani wewe ndio uwe nahodha wetu kwani mimi bado nina cheche tu ila najua moto bado ila unakuja.

akiba ya maneno usizungumze ujui foreign policies when there scores of books out there that can give you the knowledge. tafadhali hii isitoke kwa mtu anaetumainiwa na wengi.

Mungu ampe nguvu za kupigana bwana Zitto watanzanaia wapo na yeye.
 
Angekuwa Mbowe unafikiri angeweza kuzungumza hapo? Lugha yenyewe mgogoro na ukizingatia na shule ilimshinda


Duu? nawe na Mbowe utadhani mlichukuliana demu?

Anyway Bravo Zitto, keep it up!
 
 
Zitto is smart!! I adore you sir. Keep it up. Sasa na kutaka kuwa mwenyekiti CHADEMA, he is aiming high mmmmmhh!! Bravo and best wishes.
 
Task ya kwanza ya JK baada ya kumaliza degree was kugawa kadiza TANU he has no any specific professional work experience.
kwani zito amefanya kazi ngapi baada ya kumaliza shule
acha kumtetea mtu aliyekuwa waziri wa fedha
acha kumtetea mtu aliyekuwa waziri wa mambo ya nje kwa miaka 10
his profession is politics, kwa hiyo anatakiwa awe anajua international politics na mambo mengine
 

Hizi ndizo thinking zetu zinazotudondosha.Eti credentials za mtu ni vyeo alivyowahi kushika, badala ya mambo gani alifanya wakati akiwa katika vyeo hivyo.

This is especially telling since Tanzania does not have a culture of merit based appointments, in almost every appointments politics trump merit.Kama isingekuwa hivyo Mkullo asingeweza kuwa finance minister.

Sasa Kikwete huko kote alikopita amefanya nini cha maana?
 
blue ray
wabe alikuwa anajaribu kumtetea kikwete na kusema kuwa hajawahi kuwa na profession yeyote na hata kuutumia uchumi wake aliosomea
ndio nikawa namwambia mtu amekuwa minister of finance, foreign affair hana excuse yeyote ile kutojua, kwanza hauitaji kuwa economist to understand some of these things
nakubaliana na wewe TZ hawaangalii merit bali umefanya kazi mda gani. hii ni barrier to entry ambayo imetengenezwa na hawa wazee walio madarakani ili wao waendelee kukaa madarakani
wakimteua kijana kama masha akiboronga wao ndio wanamtolea mfano na kusema angalia "amesoma marekani yule na ni kijana". haya maneno nimeyasikia kwa mtu mmoja ambaye yuko juu sana kwenye system ya TZ akiwa anawakandamiza vijana masha + ngeleja ndio mifano yao
 

shukrani kwa kuclerify....
 
Safi saana, yupo makini anajua Dunia inaenda wapi na nini wawekezaji hasa wanakifanya tofauti na mitizamo kuwa wanakuja kuendeleza nchi za Ki afrika. Na pia ujasiri wa kuwaeleza bayana badala ya kuwasifia kama walivo viongozi wetu wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…