Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Mimi nilitegemea kusikia kutoka kwa kiongozi kijana kama huyo ambaye natumaini amazaliwa baada ya uhuru kuongea mambo yenye akili ...................
Kijakazi,
Umetumia uhuru wako wakikatiba na ''Slogan ya JF- Where we dare to talk openly'' kutoa kuikosoa hotuba ya Zitto.
Nakubali kuwa uwezao wa kupambanua mambo kwa sisi binadamu unatofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine, so inawezekana kwa mtazamo na uwezo wako Mh.Zitto hajaongea jipya lolote kny hotuba yake ambacho wewe kwa uelewa wako mkubwa alitakiwa aongelee.
Kilichonisikitisha kny kosoa yako (angalia quote hapo juu), unasema plainly tu eti...ulitegemea ''AONGEE MAMBO YENYE AKILI''....wakati huo huo hayo mambo yenye akili huyataji ni yapi ili tuweze kutofautisha ipi ni pumba na upi ni mchele. Post yako nzima umekosoa kwa bla blas tu hata bila kutaja ni vitu gani alitakiwa avizungumze.
Hii ni tabia ya ushabiki ambayo never haiwezi kujinga nchi yetu, kama tutakuwa tunakosoa bila kunyesha mbadala wa hicho tunachokipinga hatutakuwa tofauti na wehu na nchi hii itageuka kuwa ya VIJAKAZI!
Zitto- That was great stuff!