Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
WanaJamvi nimefuatilia Hotuba za Mikutano yote ya hadhara iliyofanyika baada ya Mama Samia kuifungua.
Kwa maoni yangu mpaka sasa Mnyika anaongoza kwa kutumia nafasi hizo vizuri. Ukimuangalia kwa muda mchache anaopewa anaongea point tupu na kugusa mambo ya Msingi ikiwemo Katiba Mpya, Maisha ya Wananchi, Chadema Digital, Uchaguzi.
Pia amefanikiwa kujua hadhira iliyoko mbele yake inataka nini, mfano alivyokuwa Tarime alizungumza mambo ya Msingi sana kuhusu hatma ya Uchumi wa Madini na Wananchi wa Tarime na alimwaga madini tupu, hii ilinigusa sana.
Baada ya huyo ni Heche, Kamanda wa anga baada ya kuchemka Mwanza nimeona kaimprove kidogo Musoma ila bado.
Ni mtazamo wangu tu masela msijenge chuki, bado nafuatilia ntaendelea kutoa updates.